Mwaliko maalumu kwa wana jamvi wote

Mwaliko maalumu kwa wana jamvi wote

MoneyMakers

Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
64
Reaction score
9
Wakuu,
Habarini ya majukumu.
Napenda kuwakaribisha katika EDMARKTANZANIA 1ST CROWN RECOGNITION AND CAR AWARDING CEREMONNY kumpongeza mwenzetu aliyefanikiwa kupatazawadi ya gari katika kampuni ya EDMARK.
Mahali: GOLDEN JUBILEE TOWER, pemebeni ya PPF Tower, nyumaya Posta mpya.
Lini: Kesho JUMAMOSI YA TAREHE 26/10/2013
Muda: Kuanzia saa 7 mchana.
HAKUNA KIINGILIO. NIBURE KABISA.
KARIBU TUFURAHI PAMOJA
KARIBU UJIUNGE NA TIMU YA WASHINDI
KUWA TOFAUTI. BADILI MTAZAMO WAKO.
Kwa mawasiliano:
Dotto Miraji
0713 366 473 au 0767 277 223
CROWN-back-to-back-with-P4.jpg
CROWN-back-to-back-with-P4.jpg

Asante kwa mualiko...ila ni kitu gani hii na mshindi anapatikanaje na ushiriki ni kwa kufanya nini..
 
asante sana kwa mwaliko wako best ila hatujui ni mashindano ya aina gani haya na mshindi anapatikanaje au inakuwaje?
 
Hili sio shindano bali ni biashara ya ukweli ijulikanayo kama BIASHARA YA MTANDAO (NETWORK MARKETING) kupitia kampuni ya EDMARK. Haihitaji uwe na elimu ya juu (degree na kuendela) au mtaji mkubwa ili kuweza kufanya biashara hii kwa ufanisi bali UTAYARI WAKO wa kuwajulisha watu wako wa karibu uwepo wa bidhaa nzuri (virutubisho) zinazotibu magonjwa mbalimbali tena katika muda wako wa ziada na hivyo kugusa maisha yao kwa habari ya afya zao na kipato. Kuna faida nyingi za ukifanya biashara ya Mtandao kupitia Kampuni ya EDMARK kama pesa za kutosha, safari za mapumziko nje ya nchi, gari, na nyumba. Ni vema kufikia maamuzi na kuwa SEHEMU YA EDMARK. STAY WITH EDMARK and FEEL GOOD NOW!
 
Mmekuja Tanzania sasa!!??? Haya karibuni sana. Mtawapata akina mtozeni wapenda magari ya bure bila kujishughulisha.
Sorry kutakuwa na chakula?? aka mpunga??
Kutakuwa na magimbi na Juisi ya njegere (Kiafya zaidi).
 
asante sana kwa maelezo niunganishe basi na mimi au ni taratibu zipi nifuate kujiunga nao hawa EDMARK
Wakuu,
Hili sio shindano bali ni biashara ya ukweli ijulikanayo kama BIASHARA YA MTANDAO (NETWORK MARKETING) kupitia kampuni ya EDMARK. Haihitaji uwe na elimu ya juu (degree na kuendela) au mtaji mkubwa ili kuweza kufanya biashara hii kwa ufanisi bali UTAYARI WAKO wa kuwajulisha watu wako wa karibu uwepo wa bidhaa nzuri (virutubisho) zinazotibu magonjwa mbalimbali tena katika muda wako wa ziada na hivyo kugusa maisha yao kwa habari ya afya zao na kipato. Kuna faida nyingi za ukifanya biashara ya Mtandao kupitia Kampuni ya EDMARK kama pesa za kutosha, safari za mapumziko nje ya nchi, gari, na nyumba. Ni vema kufikia maamuzi na kuwa SEHEMU YA EDMARK. STAY WITH EDMARK and FEEL GOOD NOW!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom