...Mwali.....wautesa MTIMA wangu.......

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
.............
.................
.....................Mrembo Mwali takribani week sasa umekua ukionekana katikati ya ndoto zangu........na unanichanganya pale unapokuwa umevaa mavasi ya kibantu ....


.............bahati mbaya ndoto hizo huishia pale napohitaji kukwambia jinsi uteasavyo moyo wangu....naomba leo utakapokuja ndotoni kwangu tena ukae hata lisaa limoja ili niweze kuweka mezani yanayp nifanya nikuone watofauti .......................
...................
..............
...............
..............................upatapo ujumbe huu usimwambie mpka nimuone uso kwa uso..........
 
ha ha ha wa kumchuuuuzi. Haya Mwali jitokeze utongozwe
 
Last edited by a moderator:
Funguka usisingizie ndoto
 
Mwali njoo msikize mtoto wa mwanamke mwenzio hapa!

BTW: Mumeo Mwanaantropologia hajambo?
 
Last edited by a moderator:
wapi Mwali ....?njoo huku uone moyo wamtu unavyoteketea.....
 
Last edited by a moderator:
Aisee... Unamiliki bastola?wewe ni kabila gani?
Nahisi manati ya kizungu yananinyemelea mimi ndo natoka na mwali usije nilia Radar tu!!
 
Aisee... Unamiliki bastola?wewe ni kabila gani?
Nahisi manati ya kizungu yananinyemelea mimi ndo natoka na mwali usije nilia Radar tu!!

Unayo kama hii
 

Attachments

  • 1385216686492.jpg
    35.3 KB · Views: 40

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…