Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Mwakyembe huaminiki tena, huna hoja kwa Lowassa, hukutenda haki, Mungu ni mkubwa malipo ni hapa hapa Duniani, aibu hiyo inakufuata, oooooo Makonda hakuhojiwa, Lowassa ulimhoji? Ooooo leteni kesi upya, kwa mchunguzi si ilikuwa wewe, sema ukweli pale Bungeni ulimbakisha nani?
Mungu anakuhukumu sasa, na ukweli utajulikana tu
Mungu anakuhukumu sasa, na ukweli utajulikana tu