Mwakyembe ongea na BASATA wasanii waunde chama cha siasa

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Naona kama wanahama sasa, msanii siyo siasa na siasa si usanii na hivi vitu viwili vyote ni tofauti sana. Kwa jinsi navyoona, akili inaniambia kuna haja ya kutambua kwamba sahivi usanii unavuka mipaka, unaelekea kwenye siasa. Wanatamani kufanya siasa japo hawajasajiriwa kama wana siasa, sasa kupitia kwako wasaidie uwape usajiri ili wawe "chama cha siasa" ama NGO ya masuala ya siasa.

Kwamba kuna kundi la wasanii limeamua kupambana na serikali kisiasa, hii inatosha kuwapa hawa watu usajiri kwa Mutungi. Hakuna namna, uenda wamesahau wao ni wasanii, huenda wamesahau huu uhuru waliopatiwa hapa Tz ni kwa ajiri ya masrahi yao. Walikuwa maskini miaka ya 90's kuja 2000 sasa wameanza kupata pesa na kuwa matajiri wamejisahau. Kujisahau kwao sasa kunawafanya waone wanayo nafasi ya kuanza kupambana na serikali. Huende wameshiba kupitiliza, huenda wamevimbewa na sasa wamejisahau.

Mwakyembe wasaidie wapate kusajiri chama chao ili wapate uharari wa kufanya siasa.
 
Back
Top Bottom