Naamini Mhe Mwakyembe bado ana uzalendo kama alionao Prof Baregu wao taifa kwanza vyama vyao baadae!
Mwakyembe ameleta mapinduzi makuba sana kwenye wizara anayoongoza treni kusaidia logistics za jijini Dar es Salaam, amefumua bandari na kuanza kuisuka upya. Amesimamia ICD vizuri kupunguza misongamano ya mizigobandarini.
Kwa hayo machache ina jieleza zaidi, tunataka viongozi wanaothubutu. Kwa vitendo sio kuomba miongozo na kupayuka ili uonekane na wewe upo. Mwakyembe anaamini watu watamwona kwa kazi anayoifanya na sio kujionyeshakwa kuomba miongozo bungeni!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums