Njowepo, nadhani una ugonjwa wa Phobia. Dalili mojawapo ya phobia ni kuogopa kila jambo. Kwani majembe mawili hayawezi kufanya kazi pamoja? Au ulitaka wakae vilaza watupu. ACHA HIZO
Nchimbi na Mwakyembe nani bora!!
Njowepo, nadhani una ugonjwa wa Phobia. Dalili mojawapo ya phobia ni kuogopa kila jambo. Kwani majembe mawili hayawezi kufanya kazi pamoja? Au ulitaka wakae vilaza watupu. ACHA HIZO
haya majembe ilibidi yachukue wizara tofauti BUT JK HAPA KANIKUNA GOOD!
Bado sijaelewa huu ushabiki wa "uzuri" wa waziri mteule John Pombe Magufuli unatoka wapi. Madudu yake Ardhi na Ujenzi yanarudi tena. Msidanganyike na vile vitakwimu vyake mkafikiri ni mchapakazi. Swali moja, hivi ile hasara ya samaki ilifikia kiasi gani?[/QUOT
magufuli sio kwamba ni mchapa kazi bali ni bingwa wa kughani na kukariri vina kama wakina jay z na eminem au tupac wanavyoweza kumeza nyimbo ndefu bila kukosea alininyima raha sana kwa kuuza nyumba zetu zilizoachwa na mkoloni na mpaka leo hajuti bali anatete aule uamuzi,samaki wake wametia hasara taifa kwa kuwaifadhi kuliko unavyodhani
magufuli anakandamizaga wanyonge,
Sikuona samaki alizokamata zilimsaidiaje mvuvi mdogo wa Tz.
Takwimu zake hazina tija.
Magufuli sio engineer
Frankly speaking,hawa jamaa wanaweza kufanya vizuri. Kuna mtu mmoja aliwashawahi kunidokeza kuwa Mwakyembe ni mtu ambaye huwa hapendi rushwa na alishawahi kukataa rushwa ya pesa nyingi miaka ya nyuma wakati akiwa na wadhifa fulani( sikumbuki vizuri wadhifa huo). Hii ni moja ya wizara muhimu sana nchini.Kwa upande wa Mzee Sam Sitta kupewa Wizara ya East Africa Cooperation hiyo kwake ni demotion(my personal view).
Bado sijaelewa huu ushabiki wa "uzuri" wa waziri mteule John Pombe Magufuli unatoka wapi. Madudu yake Ardhi na Ujenzi yanarudi tena. Msidanganyike na vile vitakwimu vyake mkafikiri ni mchapakazi. Swali moja, hivi ile hasara ya samaki ilifikia kiasi gani?
Hiyo ya magufuli na mwakyembe imetulia mana wakandarasi walishaaza kuvuna kwenye shamba la bibi kama zao na kutimka zao uchina uko.hapo jk kafanyia maoni ya watanzania walio wengi mana mwakyembe lawyer ,pombe enginia hapo pako powa hakuna mikataba feki.ilaaaaaa mhhhhhhhhhhhhhh kwa sita kupewa east africa amechakachuliwa kisiasaaaaaa baibaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sitaaaaaaaaa
Kazi yake ilikuwa kuwezesha kukamatwe watuhumiwa, period. Yaliyoendelea na yanayoendelea kwenye hiyo kesi usimuhusishe, kuna polisi na mahakama ndio wanaopaswa kuulizwa hizo habari!Bado sijaelewa huu ushabiki wa "uzuri" wa waziri mteule John Pombe Magufuli unatoka wapi. Madudu yake Ardhi na Ujenzi yanarudi tena. Msidanganyike na vile vitakwimu vyake mkafikiri ni mchapakazi. Swali moja, hivi ile hasara ya samaki ilifikia kiasi gani?