Mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.
Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,Kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni Lowassa MAHAKAMANI kesi ya RICHMOND na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.
Chonde chonde Mwakyembe tusaidie watanzania.Wanasheria msaidieni Mwakyembe.Naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa marais baada ya Magufuli kumaliza awamu zake.
Mwakyembe kashika wizara ya sheria.Ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.
Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,Kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni Lowasa MAHAKAMANI kesi ya RICHMOND na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.
Chonde chonde Mwakyembe tusaidie watanzania.Wanasheria msaidieni Mwakyembe.Naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa maraisi baada ya Magufuli kumaliza awamu zake
Mwakyembe kashika wizara ya sheria ambako kuna wanasheria wa serikali na waendesha mashtaka nguli waliobobea katika fani za sheria na wenye weledi mkubwa.
Mwakyembe wafurahishe na uwatendee haki watanzania,Kutana na wanasheria wako wizarani hapo mburuzeni Lowassa MAHAKAMANI kesi ya RICHMOND na angalieni na maeneo mengine aliyotupiga watanzania kwa kutuibia.
Chonde chonde Mwakyembe tusaidie watanzania.Wanasheria msaidieni Mwakyembe.Naamini wanasheria watakaoikalia vizuri hiyo kesi si ajabu wakaja kuwa marais baada ya Magufuli kumaliza awamu zake.
Mwakyembe ameagiza mabehewa feki ya treni trl akapiga pesa akanunua kiwanja bahari beach tsh. bilioni moja ... huyu ni fisadi mzuri tu
SIPENDI bifU, kwa nini tusiendelee mbele???? Tunakwenda Mbele Tunarudi Nyuma, we are not creative at all!
People are making noises on Success of others, why?
Msipige kelele sana ktk mafanikio ya wengine, Mwakyembe Anapaswa kuangalia namna ya kupanua wigo wa ajira Tanzania katika mahakama zote ili Vijana wetu wanaomaliza Law school wapate ajira. Kuna watu wanafikiri kujiari ni rahisi, la hasha siyo hivyo, lakini siwakatazi kujaribu....But all in all Please unapaswa kutambua pesa katika lugha zote.
Mbona hata Mwakyembe anayo Kesi ya kujibu.
kuna hili Jipu Watanzania hawalijui lakini ni Jipu kubwa sana kuna pesa zilitengwa kwa Ajili ya Reli kwenda Airport, hiyo pesa ilipigwa na Mwakyembe pia mzee sita na yeye aliambulia chenji chenji kidogo hivyo majipu yapo kibao mwilini mwa Mwakyembe.Duh huyu jamaa mfukunyuku anataka kumchanganya Mwaktembe ili unafiki wake uanikwe.