Mwakyembe kueleza ukweli

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,895
Reaction score
2,806
Baada ya watu kukaa na kutokujua kati ya polisi au wafuasi nani karusha bomu katika mkusanyiko wa chadema arusha, kiongozi mahiri ambae ni jembe la kutegemewa kadondosha machozi mengi akikumbuka polisi walivyoshindwa kumsaidia huku aliwapa ushahidi wote wa kutaka kuuliwa. Hivyo amesema anasikitishwa sana na waliokufa lakini hana imani na jeshi la polisi na inawezekana wanahusika moja kwa moja. Amemalizia kwa kusema ukweli utajulikana pale tu watakapokuja fbi kuchunguza na kuweka taarifa wazi kwa wananchi vinginevyo kinachoendelea ni kiini macho na chagonja hanauwezo wa kuwaza kwa kutumia hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…