Mwakyembe kachoka kifikra

Ile sumu ilikuwa mbaya ukipona kufa basi madhara yake ni kupukutisha akili taratiib
 
Tatizo lako hujamsikiliza mwakyembe hadi mwisho uliposikia tu lowasa hachomoki kwa mihemko ukaja kufungia thread humu
 
Akili haiwezi kuwa salaamA kwa sumu ile
 
Wewe ndo ulimwita akataa au? Kwasababu Mwakyembe anasema akuona sababu ya kumwiita...sasa alikoitwa akataa ni wapi huko?
Aliambiwa ajipime kwa kujiuzulu au ahojiwe na bunge kwa maana ya kujitetea tayari kamati ilikuwa na mashahidi 43 nje ya bunge wanasubiri kutoa ushahidi dhidi yake lkn yeye na genge lake wakaamua kujiuzulu huko sio kukataa kuhojiwa? Kwanini asikubali kuhojiwa ajitetee? Au alipima maji na kuyaona ni marefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…