Mwakyembe kachoka kifikra

Edo hakuiba kijinga jinga, wizi kama ule hupangwa na hufanywa na wasomi wakitumia loopholes kwenye sheria, sahau kuwakamata mahakamani.
Issue ni kuwa kamati ilimfound anahusika kwa namna moja ama nyingine, na akakataa kuhojiwa na bunge kama bashite, akajiuzulu.
Na wanaobisha, wailete iyo hoja tena bungeni. Mpira wamepewa wapinzani, tunasubiria their next move, i predict watauficha kwapani.
 
Nakufakamu fika through JF na post zako ww ni mmoja wa wanaosupport ujinga wa mjinga mmoja hapa Dar.

Hivyo, No time to waste with you my dear. Keep on.

Sasa nani mjinga!?

Huna muda wa kupoteza na umenisoma na kuniquote kabisaaaaa.... ha ha haaaaa

Na bado, endelea kuisoma namba na kusaga meno.

Hapa kazi tu
 
Lowasaa alipewa nafasi ya kuhojiwa akaikataa. Bashite amepelekwa kwenye maamuzi moja kwa moja kabla ya kupewa nafasi ya kuhojiwa.
Umeandika nini! Mbona hata unapingana na Mwakyembe! Si lazima utetee kila kitu kama huna hoja just zip ur mouth.
 
Mwakyembe amesema kamati haikuona haja ya kumhoji kwa kuwa walikuwa na ushahidi wa kutosha, wewe unadanganya jukwaa kuwa alipewa nafasi ya kujitetea akakataa, wewe na Mwakyembe tumsikilize nani!
 
Kweli hakuitwa kwenye kamati hata mwakyembe kakiri lkn alipewa nafasi ya kuhojiwa bungeni akaikataa akaamua kujiuzulu
Kwa nn wenzake hawakuhojiwa bungeni?
Kulikuwa na nn hata ahojiwe bungeni? Taarifa ya kamati ilikuwa imeshatoka na wenzake walikuwa wameshahojiwa. Hii ya kusema alikataa kuhojiwa ni kutafuta huruma ya wananchi. Bwege yule
 
Kwa nn wenzake hawakuhojiwa bungeni?
Kulikuwa na nn hata ahojiwe bungeni? Taarifa ya kamati ilikuwa imeshatoka na wenzake walikuwa wameshahojiwa. Hii ya kusema alikataa kuhojiwa ni kutafuta huruma ya wananchi. Bwege yule
Kamati ilihoji watu 74 maswali zaidi ya 2000 haikuona haja ya kumhoji lowassa ni ilikuwa ina mashahidi 43 standby. Ilitoa mapendekezo mawili either ajipime au ahojiwe na bunge lowassa akachagua kujiuzulu kwa sab aliona ataumbuka akihojiwa. Halafu nikufundishe sheria kidogo tu kamati kazi yake ni kuchunguza sio kuamua bunge ndilo linaamua ndilo linatoa nafasi ya kumpa mtu nafasi ya kuhojiwa lkn lowasaa alikataa. Nikupe mfano kamati ya bunge inafanya kazi kama polisi wanamkamata mtuhumiwa wanafanya upelelezi kisha wanapeleka shauri mahakamani anayetakiwa kuhakikisha kila mtu anahojiwa kwa uhuru ni hakimu kisha anaamua yaani anahukumu stage hii haikufika ni sawa na mtuhumiwa kukubali mahakamani makosa na kuomba mahakama imuhukumu moja kwa moja. Sijui umenielewa!
 
Unausemea moyo wa mtu. Anyways tusipoteze muda. Enjoy your night
 
Mtu anayeuliza kama kiongozi wa kisiasa ana akili nadhani huyo muulizaji ndio atakuwa hana akili. Toka lini mwanasiasa akawa na akili?
Kwahiyo unamaanisha kiparangoto hana akili? Huu ni uchochezi live
 
Sasa nani mjinga!?

Huna muda wa kupoteza na umenisoma na kuniquote kabisaaaaa.... ha ha haaaaa

Na bado, endelea kuisoma namba na kusaga meno.

Hapa kazi tu
Vijana wa CCM sijui akili zenu huwa mmezikalia?
 
Umetumia maneno mengi lakini kwa bahati mbaya hujaeleweka hasa hiyo mifano yako refer another example
 
Hivi Tanzania ina wenye Ph.D na maprofesa wangapi kwa sasa? Maana nasikia ndiyo nchi inaongoza duniani kwa wasomi wenye Ph.D kwa sasa ikipimwa kwa uwiano wa idadi ya watu na wenye Ph.D waliopo. Haki ya Mungu, Tanzania juu, juu, juu zaidi!!!!! Inawezekana ndiyo sababu wenye permanent brain damage wameongezeka.
 
Lowasaa alipewa nafasi ya kuhojiwa akaikataa. Bashite amepelekwa kwenye maamuzi moja kwa moja kabla ya kupewa nafasi ya kuhojiwa.
Wewe ndo ulimwita akataa au? Kwasababu Mwakyembe anasema akuona sababu ya kumwiita...sasa alikoitwa akataa ni wapi huko?
 
hii ndo tanzania hakuna mwenye huna fuu
 
Kama Mwakyembe kakereka ailete si yupo mbabaishaji ile kitu ilimtafuna sana ndio maana anapelekwa pelekwa.
 
Sasa nani mjinga!?

Huna muda wa kupoteza na umenisoma na kuniquote kabisaaaaa.... ha ha haaaaa

Na bado, endelea kuisoma namba na kusaga meno.

Hapa kazi tu
Aisome namba kivipi wakati maisha yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…