Unafikiri mahakama ya mafisadi kukosa Wateja sababu ni ipi? Majibu yake ndiyo hayo.Huyu Waziri wa Habari, Michezo na Wasanii Tz apimwe akili hii si kawaida kwa msomi wa Level ya PhD.
Huyu jamaa alikuwa Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa kuchuguza sakata la Richmond. Akahitimisha ripoti bila ya kumhoji mtuhumiwa ndg Edward N. Lowassa.
Leo hii ameshindwa muajibisha ndg Daud Albert Bashite kwa kisingizio kuwa upande wa pili hakuhojiwa. Kuna ushahidi usiyo acha dukuduku wa CCTV Camera (Video). Najiuliza alikuwa anafundisha nn huko UDSM?
Dr. Mwakyembe kwa takribani Mwaka mmoja tokea serikali ya awamu ya Majipu iingie madaraka amekuwa ni Waziri wa Katiba na Sheria. Hivyo alikuwa na nafasi kubwa kama Waziri na pia kama mwenyekiti wa Tume ya Richmond kumfungulia mashitaka ndg Edward N. Lowassa, maajabu ni kuwa mtu mwenye ushahidi wote anaomba kijana yoyote wa CHADEMA au Kubenea au Joshua Nassari walete hoja ya Richmond upya Bungeni ijadiliwe!! Kama msomi nilipagawa sn. Hivi huyu ni PhD holder? Hivi huyu ndie alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Richmond? Hivi huyu ndie Mbunge wa CCM? Hivi huyu ndie Mshauri wa Rais (Baraza la Mawaziri)? Hivi huyu ndie alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria? Hivi Dr. JPM haoni jipu la Richmond alitumbue?
CCM na serikali wanaiogopa nn Richmond hadi kuficha ripoti na kuwakamata wahusika wote? Iweje Mwakyembe abweke kama mbwa jike asiye ng'ata wakati ushahidi wote anao? Anasubiri nn?
Mwakyembe kama sumu iliingia akilini plz pumzika Ubunge!!
Watanzania tuna akili sana.
CCM na serikali mkilalamika sisi wananchi tusio na mamlaka tufanye nn?
Jipya hilo. Baada ya miaka yote hiyo ndiyo unakuja na hilo?Lowasaa alipewa nafasi ya kuhojiwa akaikataa. Bashite amepelekwa kwenye maamuzi moja kwa moja kabla ya kupewa nafasi ya kuhojiwa.
Inajulikana tokea mwanzo labda wewe ndio hujuiJipya hilo. Baada ya miaka yote hiyo ndiyo unakuja na hilo?
Uliza kama hujui kijana badala ya kukejeliJipya hilo. Baada ya miaka yote hiyo ndiyo unakuja na hilo?
Lowasaa alipewa nafasi ya kuhojiwa akaikataa. Bashite amepelekwa kwenye maamuzi moja kwa moja kabla ya kupewa nafasi ya kuhojiwa.[/Q kwahiyo mwakyem be leo katuongopea pale bungeni? Au hukumsikiliza?
Rudisheni hoja ya richmond, blah blah blah hatutaki.Huyu Waziri wa Habari, Michezo na Wasanii Tz apimwe akili hii si kawaida kwa msomi wa Level ya PhD.
Huyu jamaa alikuwa Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa kuchuguza sakata la Richmond. Akahitimisha ripoti bila ya kumhoji mtuhumiwa ndg Edward N. Lowassa.
Leo hii ameshindwa muajibisha ndg Daud Albert Bashite kwa kisingizio kuwa upande wa pili hakuhojiwa. Kuna ushahidi usiyo acha dukuduku wa CCTV Camera (Video). Najiuliza alikuwa anafundisha nn huko UDSM?
Dr. Mwakyembe kwa takribani Mwaka mmoja tokea serikali ya awamu ya Majipu iingie madaraka amekuwa ni Waziri wa Katiba na Sheria. Hivyo alikuwa na nafasi kubwa kama Waziri na pia kama mwenyekiti wa Tume ya Richmond kumfungulia mashitaka ndg Edward N. Lowassa, maajabu ni kuwa mtu mwenye ushahidi wote anaomba kijana yoyote wa CHADEMA au Kubenea au Joshua Nassari walete hoja ya Richmond upya Bungeni ijadiliwe!! Kama msomi nilipagawa sn. Hivi huyu ni PhD holder? Hivi huyu ndie alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Richmond? Hivi huyu ndie Mbunge wa CCM? Hivi huyu ndie Mshauri wa Rais (Baraza la Mawaziri)? Hivi huyu ndie alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria? Hivi Dr. JPM haoni jipu la Richmond alitumbue?
CCM na serikali wanaiogopa nn Richmond hadi kuficha ripoti na kuwakamata wahusika wote? Iweje Mwakyembe abweke kama mbwa jike asiye ng'ata wakati ushahidi wote anao? Anasubiri nn?
Mwakyembe kama sumu iliingia akilini plz pumzika Ubunge!!
Watanzania tuna akili sana.
CCM na serikali mkilalamika sisi wananchi tusio na mamlaka tufanye nn?
Ndio wale wale wajinga. Hiyo tume imekula hela kibao. Ripoti ipo ni suala la kuipeleka tu ktk Mahakama ya Mafisadi.Rudisheni hoja ya richmond, blah blah blah hatutaki.
Kasema yupo radhi kumwomba raisi ajiuzulu uwaziri adeal na hiyo.
Mambo ya akili zake hayatuhusu.
Tunawasubiri kama mtaiibua au mtafyata mikia
Wajinga nyinyi mlioambiwa fulani mwizi, alafu mkabadilishiwa gia angani mkaambiwa la hasha hakuwa mwizi, na mkaamini.Ndio wale wale wajinga. Hiyo tume imekula hela kibao. Ripoti ipo ni suala la kuipeleka tu ktk Mahakama ya Mafisadi.
Mm nadhani Dr. Mwakyembeana ripoti ya Richmond uvunguni mwake. Edward N. Lowassa yupo. Dr. wa Majipu yupo. Mahakama ya Mafisadi ipo. Mwakyembe na timu yake wapo. Taarifa rasmi za Bunge zipo.Wajinga nyinyi mlioambiwa fulani mwizi, alafu mkabadilishiwa gia angani mkaambiwa la hasha hakuwa mwizi, na mkaamini.
Mm mpaka leo hadi mwisho wangu, nyinyi ni mojawapo ya maajabu makuu ya dunia.