Mwakyembe atimua wengine 4 TPA

Mwakyembe atimua wengine 4 TPA

Huyu jamaa yuko systematic sana ingawa hakuna msafi pasee lakini angalau angalau huyu mwa k"

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
BAADA ya kuwasimamisha kwa miezi kadhaa kupisha uchunguzi waziri wa uchukuzi Dakta Mwakyembe tangu ijumaa tarehe 24/5/2013 amewatimua kazi wakurugenzi wengine 3 na meneja 1 wa mamlaka ya bandari waliotimuliwa ni Bi Florence Nkya mkurugenzi mipango, Bi Maimuna Mrisha mkurugenzi mawasiliano, Injinia Bakari Kilo mkurugenzi ufundi na Edmund Swai meneja wa ujenzi.

hapo namba imekamilika kwani tayari alishawatimu wakurugenzi Efraim Mgawe,Ahmad Koshuma,Juliasi Mfuko na Kamti. kwa wakurugenzi wa zamani kabaki mpika majungu mkubwa nae anatakiwa kusambaratishwa pia ni mkurugenzi wa masoko mama Fransiska Kajumulo Muhindi[mdogo wake waziri mama Anna Tibaijuka]. Fransiska nae pia ameomba nafasi ya DG majuzi zilipotangazwa ni kituko kweli kweli. yuko likizo marekani.

Kwa nini kabaki?
 
Maoni yangu kwa Mwakyembe, pamoja na mauchunguzi yote yanayoendelea, fanya haya: TPA pamoja na TRL fanya recruitment upya! Kila mtu aombe ajira na utoe kwa masharti mapya ya kazi. Na hili liambatane na 'Performace agreement' kwamba kila mtu, kuanzia DG hadi secretary apewe target.

Kuna uozo mwingi sana TPA na TRL. Ukienda kwenye ofisi za TRL watu wako busy na mambo yao, hawataki kabisa kujishughulisha. Na ukiangalia kwa makini utagundua huyo mtu hana pressure - hana target anayotakiwa kufikia kwa hiyo apige domo au ale chapati yote sawa tu.

Ajiri upya- na weka masharti mapya.

Uwezo wako wa kufikiri umezidi umri wako!

Well said,
Kama kitu kimeoza fumua tangaza upya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
DK wa kweli ( PHD) MWAKYEMBE jembe la chuma.

Wewe ni zaidi ya wanaojiita Maprofesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom