Mwakyembe anawashukuru nyote

Huyu mwakyembe hatumuelewi! Kama anatambua maombi yatu, inampasa atueleze alikua anaumwa nini au sumu gani alipewa, kuendelea kukaa kimya au ku ficha ni u snitch. Bora wamuongezee doz ya kutosha, akafie mbali!

haya maneno uliyo ongea bila shaka yoyote umekosea. ova
 
Eti ataendelea na kasi ile ile!!! Ana uhakika gani kama JK atamuacha aendelee na uwaziri kwenye mabadiliko ya mwezi huu?

Kwani lazima awe waziri ndio aitumikie nchi yake?!! tatizo wewe Ruge unaongea pumba mda wote sijui unadhani hapa ni THT?!!! kwanza uwaziri kwenye serikali chovu kama hii si bora usiwemo tu!!
 
Tunakutakia maisha marefu na afya njema. Lakini angalizo kwangu Dr Mwakyembe ni kwamba mfumo wa ndani ya CCM hauwezi kukuruhusu kupambana na ufisadi kwani CCM na ufisadi ni mwili na damu, watakufanyia mengi ,Ili ufanikiwe vita hiyo Jiuzulu uwaziri upambane nje ya baraza/serikali yaani bungeni au Jiunge na Chadema na ninao uhakika utashinda jimbo la kyela kwa kishindo. Jitoe CCM Dr Jiunge CDM ili kutimiza ndoto zako za kupambana na ufisadi.
 

Kwa hiyo wewe unajua anachoumwa sio, tueleze basi. Chuki zako kaa nazo, mmeshindwa katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, na sasa mmechanganykiwa mnaropoka hovyo.
 
Huyu mwakyembe hatumuelewi! Kama anatambua maombi yatu, inampasa atueleze alikua anaumwa nini au sumu gani alipewa, kuendelea kukaa kimya au ku ficha ni u snitch. Bora wamuongezee doz ya kutosha, akafie mbali!

Mbona wewe una ukimwi na tunakuombea na bado hujataka kueleza watu unaumwa nini?? Kama ni kufa si bora ufe wewe??? Damn you!!!
 

Baada ya serikali kuvunjwa lilikuwa jukumu lenu wananchi kushinikiza JK naye kung'oka, lakini mliogopa mkawaachia kina Mwakyembe ndio wawapiganie nyie mkinywa mvinyo, bambafuuuu. Hakuna ukweli wowote alioufichua Lowasa kwani serikali haiendeshwi kwa simu, na pili hakuzungumzia jinsi alivyotuingiza kwenye huo mkataba bomu kwani hapo ndipo ilipo shughuli yenyewe, atueleze kama JK ndiye aliyemuagiza na aonyeshe barua au kimemo, serikali haiendeshwi kama kijiwe cha kahawa.

Tatu suala la taswira ya JK katika jamii sio kweli, bali yeye ndiye aliyechafuka wakati mwezie alikuwa na kete ya uzuri huku walimu akimuona hajakomaa akili bado. Kimsingi Lowasa pale alistahili kuwepo ukonga kwani anatoa siri za serikali, ulinzi anaopewa sio kwamba tunampenda sana bali ni kwa sababu ana siri za serikali yetu, hivyo iwapo ni mropokaji akipewa nchi mambo yote yatakuwa hadharani kwa kina RA.
 
Mbona wewe una ukimwi na tunakuombea na bado hujataka kueleza watu unaumwa nini?? Kama ni kufa si bora ufe wewe??? Damn you!!!

mariavictima,

Hapo umenena, wamezidi umbea wanaacha kutibu magonjwa yanayowakabili wamekazana na wenzao. Hivi wanajifanya hawamwoni Lowasa wao akitembea mithili ya kipofu, wako kimya hawaulizi kulikoni!!
 
jamaa ana bonge la jumba la ghorofa!nilidhania wanamapinduzi sio matajiri.

acha upupu kamanda,kama huna cha kuandika siyo lazima uumwage hapa.

kwani wanamapinduzi hawana mishahara na marupurupu.!!!!,wacha hiyo mambo kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…