UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,045
- 9,343
Nadhani unakumbuka wakati mwakyembe anasoma ripot ya richmond; mwishoni alisema kuna baadhi ya mambo wameyafunika ili kuilinda serikali. Hatukujua wakati huo lakini baadae tuliona swala la richmond limemalizwa kihuni na waziri mkuu mbele ya sita na sita akafunga mjadala bila kuruhusu hoja za wabunge bado hatukuelewa. Mwisho tumesikia juzi Lowasa anamwambia kikwete ukweli lakini lowasa huyuhuyu ndio alikuwa ameficha ukweli huo kwa nia ya kumlinda rafiki yake, na mambo aliyosema lowassa ndiyo waliyoficha akina mwakyembe na sita.Maelezo yako hayajitoshelezi!fafanua
jamani ngoja niwakumbusheni zamani wakati anafundishwa alijitoa kwenye board ya nbc baada ya kuzikataa milioni hamsini ambazo board member wote walipewa ili wapitishe mambo ya makaburu mwenzie wote wasiokuwa wazalendo walizichukua na wakati huu ndio alikuwa akianza msingi wa ghorofa lake mliloliona kwenye tv (itv) ndio ujue watu walivyo wazalendo mtu anashida ya hela ila hawezi uza utu wake huyo ndiyo dr mwakyembe! mwita 25 unamzungumzia uwaziri wa juzi tu hapa!!
na alipokuwa usalama wa taifa wakati mwandishi wa habari kamuulize kwa nini alitoka (mwita research first before you speak)
hilo ndio jembe na limerudi, na tunalitaka chadema kama ccm hamtomchagua kuwa mgombea wenu!!
mwakyembe anawashukuru wote mlio muombea. kapata nafuu kubwa na anasema ataendelea na kasi ileile. kwamba matatizo yake yamesababishwa na mafisadi.source itv. Mia
Kaka KibonaHamna kitu hapo; Mwakyembe, Lowassa na Sita ndio waliolea sana ufisadi. Wanatakiwa hata kuchomwa moto. Hawa ndio walioficha ufisadi eti wanakipigania ccm, ujinga gani huu wanawezaje kuwa na uchungu na chama badala ya taifa?
Watakucheka watu MD24. Shauri yako.Huyu mwakyembe hatumuelewi! Kama anatambua maombi yatu, inampasa atueleze alikua anaumwa nini au sumu gani alipewa, kuendelea kukaa kimya au ku ficha ni u snitch. Bora wamuongezee doz ya kutosha, akafie mbali!
Ambacho sikubaliani na wengi kuhusu Dr. Mwakyembe ni kuhusu ugonjwa wake. Kwanini watu hawakiri maradhi waliyo nayo na wanatafuta sympathy ya wananchi kwa kusema mara kalogwa, mara kategeshewa ajali, mara kawekewa sumu na mafisadi....kwa lipi? Karne ya 21 bado watu wanaamini kwenye tunguli! Watu na maradhi yao lkn wanaficha nyuma ya pazia la mkono wa mtu! Type ya viongozi kama akina Mwakyembe, Sitta, Membe, Nape ambao ni Ma-opportunists siwafagilii sana. Wana udhaifu mkubwa nyuma ya pazia! Ila Kama binadamu nimefurahi afya yake imeimarika na namuombea maisha marefu ili asahihishe pale alipojikwaa!
kuna mabadilko mwezi huu au unaota mchana ?Eti ataendelea na kasi ile ile!!! Ana uhakika gani kama JK atamuacha aendelee na uwaziri kwenye mabadiliko ya mwezi huu?
Nadhani unakumbuka wakati mwakyembe anasoma ripot ya richmond; mwishoni alisema kuna baadhi ya mambo wameyafunika ili kuilinda serikali. Hatukujua wakati huo lakini baadae tuliona swala la richmond limemalizwa kihuni na waziri mkuu mbele ya sita na sita akafunga mjadala bila kuruhusu hoja za wabunge bado hatukuelewa. Mwisho tumesikia juzi Lowasa anamwambia kikwete ukweli lakini lowasa huyuhuyu ndio alikuwa ameficha ukweli huo kwa nia ya kumlinda rafiki yake, na mambo aliyosema lowassa ndiyo waliyoficha akina mwakyembe na sita.
Yeah,,aliahidi kulipua mabomu akijaaliwa kupona na kurudi TZ lets hpe anafanya hivo siku c nyingi zijazo. Kama ameweza leo kuongea runingani means anaweza pia kulipua hayo
jamaa ana bonge la jumba la ghorofa!nilidhania wanamapinduzi sio matajiri.