Mwakyembe ageukwa

Mwakyembe ageukwa

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Waziri Mwakyembe ageukwa na wafanyakazi wa ATCL kwa kumsimamisha Mr. Chizi, wadai kusimamishwa kwake kwatokana na zengwe
 
hahahahahahaha
Hayajui adha tunayopata tukiulizwa huku ughaibuni. Mfano, unaulizwa unatokea wapi? Najibu: Tanzania, swali lingine: Mna kampuni gani ya ndege? hapo ndiyo unaanza kuchukia uwepo wako pale, najibu: Aaahh eeeeeh mara ooooh, tunashirikiana na Kenya airways, mara Precision kumbe nako ni wizi mtupu hakafiki popote zaidi ya kuwapelekea abiria Kenyaairways. Ujanja ujanja mwingi kila kona nchi hii.
 
bifu ni kati ya katibu mkuu wa wizara na atcl na tatizo ni mwakyembe kalamba sumu ya katibu

nchi hii ina mikosi

ila hao atcl wanakiburi cha wapi wakati hawana ndege?
 
Mwakyembe piga kazi hao wanamaslahi binafsi kama ilivyokuwa kwa mzee wa kazi JAIRO. Aliyeonja kifo haogopi kufa.
 
hao wanaogopa kupunguzwa kazi tu, sababu atcl ina wafanyakazi wengi wakati haizalishi kuweza hata kujiendesha yenyewe, tayari washajua kinachofuata hapo ni kitu gani!
 
heb mwacheni mzee wa kunyonyoka apige mzigo

Wabongo bana! Mim aliniuzi sana alipokana kuwataja waiomjulias na kukataza magazete yasizungumzie hiyo insue. Na rafiki yake 6 upo wapi nowday simsikii au kaenda nigeria kutembea kidogo!
 
tunapoingiza chochote humu tukumbuke kuwa wenye fikra pevu, kwa habari hii ya mwakyembe mleta hoja anataka kugeuza jukwaa hili kuwa la udaku kwakuwa habari yake haina chanzo
 
Hayajui adha tunayopata tukiulizwa huku ughaibuni. Mfano, unaulizwa unatokea wapi? Najibu: Tanzania, swali lingine: Mna kampuni gani ya ndege? hapo ndiyo unaanza kuchukia uwepo wako pale, najibu: Aaahh eeeeeh mara ooooh, tunashirikiana na Kenya airways, mara Precision kumbe nako ni wizi mtupu hakafiki popote zaidi ya kuwapelekea abiria Kenyaairways. Ujanja ujanja mwingi kila kona nchi hii.

Dah mkuu hilo swali la unatokea nchi gani huwa linakuwa gumu sana, unahisi kama mtu kakutwisha bonge la jiwe hadi unashindwa kuhema.
 
wameshiba haooo kajisemea mwinyi..wamezoea kwenda kazini na kulipwa mishahata huku kukiwa hakuan andege hata moja zote wameziua ....
 
Hayajui adha tunayopata tukiulizwa huku ughaibuni. Mfano, unaulizwa unatokea wapi? Najibu: Tanzania, swali lingine: Mna kampuni gani ya ndege? hapo ndiyo unaanza kuchukia uwepo wako pale, najibu: Aaahh eeeeeh mara ooooh, tunashirikiana na Kenya airways, mara Precision kumbe nako ni wizi mtupu hakafiki popote zaidi ya kuwapelekea abiria Kenyaairways. Ujanja ujanja mwingi kila kona nchi hii.
hawa wote ni wa kufukuza ..wameshajishibia kupokea mishahara bila kufanya kazi unafikiri ni mchezo
 
Atcl wanachofanya nini for all these years? Wanabembelezwa ili iweje?
 
Back
Top Bottom