Mwakyembe achana na TFF

Mwakyembe achana na TFF

Nimefurahishwa sana na Raisi wa TFF kukaidi wito wa Waziri Mwakyembe,,
TFF ni taasisi huru,,haingiliwi na mtu yeyote nje ya sheria za Soka.
Kocha wa TAIFA alitafutwa na TFF ,,wao ndio wameona hajafiti kwenye hiyo nafasi.
Mwakyembe usituvuruge,,tuache tupange ya kwetu,,usije na hizo sheria zako....oooooh mara Simba na Yanga wamesajiri wachezaji wengi wa kigeni,,,
kwani wewe unatakaje???
Niipongeze TFF kwa kuanzisha Academy Dodoma ambayo itachukua watoto wenye vipaji vya soka na kuwalea....
wewe ni miongon mwa wafanyakaz wa tifuatifua[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimefurahishwa sana na Raisi wa TFF kukaidi wito wa Waziri Mwakyembe,,
TFF ni taasisi huru,,haingiliwi na mtu yeyote nje ya sheria za Soka.
Kocha wa TAIFA alitafutwa na TFF ,,wao ndio wameona hajafiti kwenye hiyo nafasi.
Mwakyembe usituvuruge,,tuache tupange ya kwetu,,usije na hizo sheria zako....oooooh mara Simba na Yanga wamesajiri wachezaji wengi wa kigeni,,,
kwani wewe unatakaje???
Niipongeze TFF kwa kuanzisha Academy Dodoma ambayo itachukua watoto wenye vipaji vya soka na kuwalea....
Nani anamlipa kocha kwani
 
Hawezi kuachana wewe ,TFF iko chini ya Wizara yake lazima TFF ifuate maelekezo toka kwa Waziri mwenye dhamana na michezo
 
Nimefurahishwa sana na Raisi wa TFF kukaidi wito wa Waziri Mwakyembe,,
TFF ni taasisi huru,,haingiliwi na mtu yeyote nje ya sheria za Soka.
Kocha wa TAIFA alitafutwa na TFF ,,wao ndio wameona hajafiti kwenye hiyo nafasi.
Mwakyembe usituvuruge,,tuache tupange ya kwetu,,usije na hizo sheria zako....oooooh mara Simba na Yanga wamesajiri wachezaji wengi wa kigeni,,,
kwani wewe unatakaje???
Niipongeze TFF kwa kuanzisha Academy Dodoma ambayo itachukua watoto wenye vipaji vya soka na kuwalea....
Ila Mwakyembe ana gundu jamani ! mwenzie Bashite hadi timu anapanga ila hajawahi kulaumiwa !
 
Mwakinembe inabidi adili na Musiba anayechafua viongozi wetu waliotumikia taifa kwa heshima. Hayo mambo ya mpira awaachie TFF.

Ningeshangaa kama TFF wangemuacha Amunike abaki.Kocha kila mechi anajaribu kikosi!
Wako sahihi, shida ya viongozi wa serikali ni kutaka umaarufu baada ya mafanikio.
 
Mwakata kwenu, ngoja nikuambie kitu. Ili TFF ifanikiwe inahitaji ushirikiano mzuri baina ya waziri na wao. TFF haiwezi kufanya kazi bila waziri. Wanahitaji political buy in ili mambo fulani yaende. Wakiweka ukuta kati yao na waziri, mambo mengi yatawaendea kombo.
Walipaswa waende kwa waziri, wamsikilize. Baada ya hapo wangetoa sababu za kiufunzi za kwa nini wanafikiri Amunike apishe nafasi hiyo. Na sidhani kama waziri angeshupalia kocha amunike lazima abaki. Wangefikia tu muafaka mzuri. Tabia waliyofanya ni ya kitoto. Inapaswa wamuangukie waziri kwa kughafirika.

Mkuu:
Sawa, ulichokisema ndio ukweli wenyewe, lkn hilo suala la kumuangukia Mh. Waziri na kughafilika kwa TFF hiyo ni busara tu uliyo itumia ktk kutafuta muafaka baina yao.
Ki ukweli performance ya Tanzania ktk medani ya soka ni mbaya sana kuliko enzi za nyuma, tumeshuhudia mashindano ya vijana na hivi karibuni AFCON inasikitiasha.
Tz. si nchi ya majaribio tena tufanye kweli.
Hakuna mjadala tena na viongozi wa TFF.

#TFF_MUSTGO
 
Nafikiri wakati huu si wa malumbano. Waziri wa michezo na TFF wote wanajenga nyumba moja kwanini walumbane tena kwenye vyombo vya habari? TFF na waziri wasiangalie nani kashinda nani kashindwa badala yake wakutane bila masharti yoyote kwa ajili ya mustakabali wa soka letu. Na haya mambo wasiwe wanayapeleka kwenye vyombo vya habari kwani sasa hivi tasnia ya habari imejaa watu wasio na weledi ambao mara nyingine wanapotosha habari husika.

Kwa sasa nilitegemea kusikia Mwakyembe, TFF, kamati ya bunge ya michezo, BMT n.k. kila mmoja kwa wakati wake wamefanya ziara ya mafunzo Madagascar kujifunza mbinu walizotumia kukuza soka lao kwa mudi mfupi sana na kujenga ushirikiano nao. Hapo Madagascar sio mbali hata gharama ni ndogo sana. Ikishindikana kwenda Madagascar basi tuwaalike waje watufundishe mbinu hapa kwetu.

Ni lazima tujifunze kutoka kwao kwa sababu kama pesa ya FIFA hata TFF wanapokea lakini inawezekana hawajui namna nzuri ya kuzitumia ili zilete tija kwenye mpira nchi hii. Haiwezekana kibonde tuliyekuwa tunamtandika goli 5 na kuendela leo anafika robo fainali ya CAF tena kwa kuvitandika hata vigogo vya Afrika.
 
Ni kweli TFF ni taasisi huru, ila ni mali ya serikali ya Tanzania. Huo uhuru unaousemea ni wa wapi?

Fifa pia walikua wakijidanganya wako huru, muulize taahira mwenzako Blater yuko wapi na uhuru wake wa FIFA.

Eti huru.
Mkuu wewe ni mdau wa football kweli???

Unafahamu ni adhabu gani tutakumbana nayo endapo serikali itaonekana kuiingilia TFF???

Heri kutoshiriki fainali za afcon na World Cup lkn ukashiriki katika kufuzu kuliko kutoshiriki kabisa hata hyo hatua ya kufuzu
 
Back
Top Bottom