Lini Tanzania imekua Ligi ya kulipwa? Ligi ya Tanzania ni amature, Yanga ilifika robo ya champion league 1998, kombe la washindi Afrika 1995, Tena Yanga iliyofika robo kombe la washindi ni vijana wapya wengi ni Yanga Yoso.Hicho anachokitaka Mwakyembe kinafaa kufanywa katika amateur league na siyo professional league.
Mtu anawekeza pesa zake halafu unamlazimisha atumie watu ambao hawatamfikisha popote ?
Haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba iliyoitoa Zamalek mwaka 2003 ugenini Misri kwenye hatua ya 16 bora na kufika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa Afrika ilikuwa na mchezaji mmoja tu wa kigeni,Ramadhani Wasso.Wachezaji wa Tz wanaubora mdogo, hawataweza kupambania timu katika mashindano ya kimataifa...
Wacheza wote waki'Tz wanafanana viwango kuanzia FDL mpaka ligi kuu na hawataki kuimprove wanakula wageni wasiokua na ubora kama wao wawachukulie namba kwenye kikosi.
_ Satan _
Mkuu, mpira unabadilika...Simba iliyoitoa Zamalek mwaka 2003 ugenini Misri kwenye hatua ya 16 bora na kufika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa Afrika ilikuwa na mchezaji mmoja tu wa kigeni,Ramadhani Wasso.
Huyu ndiye mwenye "mawe" manne au namfananisha?Wasalam wadau wa michezo.
Waziri wa Habari, Michezo Sanaa na Michezoi, amelitaka Baraza la Michezo Tanzania kuangalia namna ya kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni katika ligi kuu ya Tanzania.
Amesema haya wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2020/21
Kama mdau, nini maoni yako juu ya kauli hii?
Karibuni kwa mchango. Waziri Mwakyembe ataona hapa.
Sent using iphone pro max
hahaaa kuna Hatari ya simba kushuka daraja ikiwa mamluki na wachezaji wa kigeni watapunguzwa!
Inashangaza sana. Yote hayo yqnafanyika kwa ajili ya Simba,Yanga na Azam. Kwani hao ndio mara nyingi wanasajili wachezaji wengi. Swali rahisi ni vilabu vingapi Tanzania wanaweza kusajili idadi kubwa ya wachezaji toka nje?Itakuwa Ajibu na Ndemla wamemlalamikia waziri...mimi naona kusiwe na limit ya wachezaji wa kigeni maana wachezaji wetu wamebweteka wanakaa vijiwe vya bangi
Tangu kipindi iko imetokea hivyo mara ngapi?Simba iliyoitoa Zamalek mwaka 2003 ugenini Misri kwenye hatua ya 16 bora na kufika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa Afrika ilikuwa na mchezaji mmoja tu wa kigeni,Ramadhani Wasso.
Ishu ya umri ni kwa vilabu!Wawe 10 au hata 20 kigezo cha umri ni muhimu sana! Watu kama meddy na Wawa ule umri wasiruhusiwe kucheza kwenye ligi yetu! Waende uarabuni au China!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa..mpira unabadilika.Point yangu ni lazima kuwe na regulation haiwezekani watu waamue tu bila kuwawekea sheria au kanuni..Sio kweli kuwa wachezaji wote wa bongo hawajui au sijui hawana akili.Wapo wachezaji wa bongo wenye determination hadi inafurahisha..Mkuu, mpira unabadilika...
Ukiangalia mpira unaochezwa na wachezaji wa bongo peke yake utashangaa...
Wachezaji wakigeni wanafanya walau mpira uufurahie..
Kama kutakua na mipango kabambe ya kuandaa wachezaji kuanzia chini basi nitamuunga mkono waziri.
Kwanza naona angeanza kuweka Sera kwenye michezo iliyokufa hapa Tanzania Kama ndondi,riadha,kuogelea,basket,netball n.k,akifanikiwa katika Hilo ndipo tutajua Sera zake zinaweza kuinua kiwango Cha soka nchini.Mwakyembe atambue kuwa akina samatta, Msuva n.k nao ni wacheezaji wa kigeni ambao wamepata fursa
Huyu mwakyembe ni wakumstaafisha katika uchaguzi wa mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalam wadau wa michezo.
Waziri wa Habari, Michezo Sanaa na Michezoi, amelitaka Baraza la Michezo Tanzania kuangalia namna ya kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni katika ligi kuu ya Tanzania.
Amesema haya wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2020/21
Kama mdau, nini maoni yako juu ya kauli hii?
Karibuni kwa mchango. Waziri Mwakyembe ataona hapa.
Sent using iphone pro max