redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,098
- 11,383
Lini Tanzania imekua Ligi ya kulipwa? Ligi ya Tanzania ni amature, Yanga ilifika robo ya champion league 1998, kombe la washindi Afrika 1995, Tena Yanga iliyofika robo kombe la washindi ni vijana wapya wengi ni Yanga Yoso.Hicho anachokitaka Mwakyembe kinafaa kufanywa katika amateur league na siyo professional league.
Mtu anawekeza pesa zake halafu unamlazimisha atumie watu ambao hawatamfikisha popote ?
Haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ilifika fainali ya Caf 1993 ikiwa naasilia 99% wazawa.
Simba juzi imeingia robo fainali Afrika na wageni wa kutosha imepigwa tano,tano, za kutosha. Inabidi vilabu virudi na mpango wa kuandaa chipkiz wake baadae iwatumie. Ayo Mambo wanayofanya wachezaji wageni Leo kwenye soka letu yalikua yanafanywa na wachezaji wetu wakibongo.
Nina hakika Yanga ya 1993 au Simba ya 1993 si Morrison au Chama wanao weza kuanza kikosi Cha kwanza.
Ili wacheze inabidi Lunyamila awekwe bench na Morrison au Marsha awekwe Bench na Chama. Shabiki yupi wa Simba au Yanga ange kuelewa!! Kocha angechezea bakora tu.
Sent using Jamii Forums mobile app