MWAKA WETU HUU KHAAAAAH...!

Haya watumishi wa umma...

fail to plan = plan to fail.
 
Kila la kheri.

Muwe wavumilivu
 
Kuna wakati kulikua na msemo..hata kama mshahara mdogo serikalini kuna job security unajua, alaf marupurupu kibao! Hizo maneno zimekwisha kabisa
 
Huko tuendako watumishi wa uma lazima wawe masikini wa kutupwa,akipokea ka mshahara kake kote kanaishia kwa mangi na bado atadaiwa kodi ya nyumba,baada ya hapo watakuwa watu wa mizinga balaa
 
Bora mie mjasiliamali wallah sisumbuki na chochote.....naamka mda nnaotaka na hakuna kuhakikiwa wala blah blah gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…