Umeogopa tu Sister, umekosa uhondo kweli wa kujua matukio muhimu yaliyotoea mwaka wa kuzaliwa kwako. Hilo giza uliloona ni kama ubao, ambao juu yake ndo yanatokea maandishi meupe. Nina hakika hutajuta baada ya kusoma hayo matukio. Hiyo link ni salama kabisa wala usihofu kabisa. Good day madam.