Poleni mno kuna mwenzenu huku mama muuza genge mwanzo wa gemu alikuwa na tabasamu kweli, gemu imeisha narudi gengeni nakutana na mtu kama kala pilipili nikajiroga kumpa pole mbona nilijuta amesema nifanye juu chini game zijazo marefa wawe wazungu 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa sijui nimegeuka GSM au Engineer