ni PM tuone cha kufanya! with your cv plse
habari zen ndugu zangu! ni mdada wa miaka 26 sasa jamani tangia nihitimu chuo mwaka juzi july mpaka leo cjapata kazi wallah! nafanya application ziczo na kikomo yanni lkn wap! nimejitolea sehemu km mbili hv lkn nimeacha ktokana na kwamba hawanipi hata hela kumi so hata ya usafiri nakuwa nakosa sasa! dah! nina bachelor ya business administration! nisaidie jamani angalau pakushkiza....huko tigo,voda n.k cstomer care pia nakutaka! du c mchezo....website nyingi za kazi nazpitia kila baada ya nusu saa nafanya application online n kwa posta lkn bado jaman
jamani iwapi hyo nida mi pia nipeleke dats an opportunityusikate tamaa ata kidogo. Peleka cv yako pale NIDA wanataka data entry cleck kama 200 ukiwa una omba sehemu nyingine.
jamani iwapi hyo nida mi pia nipeleke dats an opportunity
meongea la maana ngoja niende hukoM-PM jamaa.uwenda ana shavu
habari zen ndugu zangu! ni mdada wa miaka 26 sasa jamani tangia nihitimu chuo mwaka juzi july mpaka leo cjapata kazi wallah! nafanya application ziczo na kikomo yanni lkn wap! nimejitolea sehemu km mbili hv lkn nimeacha ktokana na kwamba hawanipi hata hela kumi so hata ya usafiri nakuwa nakosa sasa! dah! nina bachelor ya business administration! nisaidie jamani angalau pakushkiza....huko tigo,voda n.k cstomer care pia nakutaka! du c mchezo....website nyingi za kazi nazpitia kila baada ya nusu saa nafanya application online n kwa posta lkn bado jaman
Munkari saa zingine utafanya mtu atamani kukuchapa kofi.....ualimu tena? teh tehDu! Aisee! Ungesomea ualimu sahizi unahesabu cku tu loh! Pole lakini ! Endelea kutafuta usikate tamaa !! Ngoja mabosi waje !!
dada angu usikate tamaa mi nshapiga hadi zege we acha tu......habari zen ndugu zangu! ni mdada wa miaka 26 sasa jamani tangia nihitimu chuo mwaka juzi july mpaka leo cjapata kazi wallah! nafanya application ziczo na kikomo yanni lkn wap! nimejitolea sehemu km mbili hv lkn nimeacha ktokana na kwamba hawanipi hata hela kumi so hata ya usafiri nakuwa nakosa sasa! dah! nina bachelor ya business administration! nisaidie jamani angalau pakushkiza....huko tigo,voda n.k cstomer care pia nakutaka! du c mchezo....website nyingi za kazi nazpitia kila baada ya nusu saa nafanya application online n kwa posta lkn bado jaman