Mwaka wa 5 mtaani bila kazi

Mwaka wa 5 mtaani bila kazi

Ms. Kadadaa jumapili

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
102
Reaction score
48
Habarini wanajamvi, Mimi ni msichana natafuta kazi ambayo ni halali itakayoniingizia kipato, Nina degree ya procurement and logistics management.. Kwa mwenye kuweza kunisaidia au anaitaji maelezo zaidi naomba anicheck pm.
Natanguliza Shukrani.
 
NGOJA WAJE MKUU.
 
Kama upo Dar itakuwa vyema kuna shughuli ambayo siyo ulosomea lakini kwa sabbu wewe ni somi nina uhakika hutaishindwa ni kama stepping stone.
 
Ms. kadadaa na wengine wote subirini kidogo tunamalizia kuwatoa ghost workers
 
Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit
Hatutaki kusikia ushauri mbadala, okay basi aendelee kusubiri miaka mingine na mingine....
Afu mtaji mbona unasingiziwa sana ili ujiajiri inahitajika uwe na million ngapi?
 
Hatutaki kusikia ushauri mbadala, okay basi aendelee kusubiri miaka mingine na mingine....
Afu mtaji mbona unasingiziwa sana ili ujiajiri inahitajika uwe na million ngapi?

Ndio tatizo letu vijana wa leo. Kusoma sio ajira. Mtaji ni akili na mipango yako tu, anaweza kuanza hata na mtaji wa 20,000/=... akazie malengo tu
 
Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit

We ropoka tu, hajasema kakosa pesa ya mtaji ila kasema ameshasota miaka 5 anatafuta ajira. Katika miaka hiyo mitano angefocus kutafuta mtaji angepata...kwani mtaji wenyewe sh. ngapi? angeanza na kidogo alichonacho. Sasa mdanganye asote miaka mingine 10. Someni alama za nyakati.
 
Hebu nifungue macho basi jinsi ya kupata walau mtaji mkuu

Kabla hujafikiria mtaji fikiria unataka kufanya nini. Wengi huwa tunawaza mtaji tuuu wakati hatujui tufanye nini. Ungekuwa mfuatiliaji wakati ule wa kipindi cha mwanamke wa nguvu ungejifunza jinsi ya kubeba mimba ya kitu cha kufanya. Ni somo pana, unaweza kutafuta masomo ya ujasiliamali na ukaanza kutamani kufanya kitu... isiweke akili ya mawazo yako kwenye kuajiriwa tu...
 
mkuu unakasirika nini?? mtu yupo mtaani mwaka wa 5 bado anashauriwa njia mbadala wewe unaona anaonewa.

unafikiri magufuli akifungulia hizo ajira ndio zitawaajiri watu wote??

kikwete alikuwa anaaajiri kila mwaka na bado mdada amekaa miaka mitano mtaani sembuse awu hii ya kubana matumizi.

mwajiri wa ukweli ni akili yako tu

Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit
 
Back
Top Bottom