Mwaka unaendeleaje wajameni?

Kulipata hili toto watakiwa uwe nazo kwelikweli ndugu. Unazo? Sasa hivi ni mnigeria ndo anastarehe hapo. Waweza mpiku?
Mkuu niko mbioni kumtafuta Muhongo anipe kitalu cha gesi, lazima nimpate 2016!!
 
Mtoto ana ''difu"....ka sio ya 'Isuzu''. ya..''Fiat''.. hiyo
 
Ilibidi nizoom nione maji yana rangi ipi aisee
 
Dah hii si juzi tu hapa January ,mwaka ndio hivyo umeisha ..kweli maisha yetu mafupi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…