Pure Scientific JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 716 Reaction score 644 Nov 29, 2015 #1 Kama title inavyosema mwaka 2015 ndo unaisha hivyo je kama mwana jf jukwaa gani limekufanya ulipende zaidi ya mengine na kwa sababu gani na pia limefanyia kitu gani cha tofauti katika maisha yako ?
Kama title inavyosema mwaka 2015 ndo unaisha hivyo je kama mwana jf jukwaa gani limekufanya ulipende zaidi ya mengine na kwa sababu gani na pia limefanyia kitu gani cha tofauti katika maisha yako ?