Mbu muhimu ni kuridhika.
Wapo walionzana baada ya ndoa na wakaishia kutoka kwa kusikia haya na yale.Kama wewe sio mtu wa kuridhika siku ukisikia mtu anasifia kitu ulichozoea wewe kwa namna ambayo ni tofauti utataka tu kuonja na wewe uone mbwembwe zote ni za nini.
...aisee ni ngumu bana, maana hakweshi ku compare....! ile ilikuwa hivi, yule alikuwa hivi....
mwenye milk of amnesia anisaidie jamani nipate kunusuru ndoa..nasikia inafuta kumbukumbu zote ile.
....i promise sitainywa kama chai kama alivyofanya maiko jaksoni...
Ni ngumu na ndiyo maana ni muhimu kufanya maamuzi magumu,
Binafsi nimefanya yafuatayo
1. Sihitaji mawasiliano ya namna yoyote na Ex GFs wangu wote...Hata wanapojaribu kunitafuta nawaeleza kuwa nilishafunga gate na fungua nilizitumbukiza kwenye shimo la choo....Tena ni kule Jangwani ambao mafuriko yamepita na kuzoa kila kitu!
2. Bibi DC ameelezwa hayo, na nimemuomba kufanya kama mimi, if possible. Vinginevyo aendelee but at her own risk!
3. Memory chafu zinaponiandama, najipa moyo kwamba my wife is the best of all.....Hata siku moja siipi nafasi akili yangu imuweke my wife wangu kwenye nafasi nyingine zaidi ya hiyo!
Kweli kabisa Lizzy,
Kwani hata ukiamua na uwezo unao, utawaonja/njwa wangapi?
Sijui,
Ila, unaweza kupata faida bila kuwekeza???
Hahahahha. . .
....lol....ati mbwembwe zote za nini...hahahaha...kumbeeee ndivyo inavyokuwa ee!?
Ni ngumu na ndiyo maana ni muhimu kufanya maamuzi magumu,
Binafsi nimefanya yafuatayo
1. Sihitaji mawasiliano ya namna yoyote na Ex GFs wangu wote...Hata wanapojaribu kunitafuta nawaeleza kuwa nilishafunga gate na fungua nilizitumbukiza kwenye shimo la choo....Tena ni kule Jangwani ambao mafuriko yamepita na kuzoa kila kitu!
2. Bibi DC ameelezwa hayo, na nimemuomba kufanya kama mimi, if possible. Vinginevyo aendelee but at her own risk!
3. Memory chafu zinaponiandama, najipa moyo kwamba my wife is the best of all.....Hata siku moja siipi nafasi akili yangu imuweke my wife wangu kwenye nafasi nyingine zaidi ya hiyo!
Ndiyo maana sitaki kukutana naye...
Ikitokea kwa bahati mbaya natoka nduki!!
2. Watoto waliopatikana kabla ya ndoa….Hili ni gumu sana especially kwa wanawake kuliko kwa wanume….Linachangiaje ku-destabilize ndoa??...Naomba michango ya wadau!!
Katika hilo naishi kwa kanuni ya imani....si lazima kuona ili uamini!!
Mbona mimi naona wanaume wanajitahidi zaidi kwenye hili kuhusu wanawake?I mean mwanaume akimkubali mtoto atamtreat vizuri wakati baadhi ya wanawake hua wanasema ndio huku moyoni wanapanga namna watakavyomkomesha huyo mtoto.
....mzee, hili nadhani ni ngumu kumesa kwa wanaume wengi tofauti na kina mama, ...ila ukimletea mke mtoto baada ya ndoa, huo moto wake kuuzima labda aje ziraili!
Dah mzazi hapa umenivunja mbavu sana coz huu mkasa ni kama wangu lol....mkuu
mimi na ex wangu ambae ni mke wa mtu now
kani block facebook
nimemuuliza why? kasema kidume kimempiga marufuku
get it?
Bila imani hamna kitu ambacho kingeenda.
Dah mzazi hapa umenivunja mbavu sana coz huu mkasa ni kama wangu lol....
We umekuwa-blocked FB! Mi nimechomeshwa mahindi juzi balaa mzazi......
....tukiwa tumebakisha masaa yasiyozidi 30 kwa wengi wetu huku tuliko kabla hatujanyanyua gilasi za maji kusherehekea nyu ya!...
....je una maazimio gani katika suala hili tukufu la mahusiano, mapenzi na urafiki ewe Lizzy, maana nadhani hili ndilo lililokuwa kusudio la huyu mzee kufungua huu unyuzi, naona namimi napiga blah blah sasa hapa....
mie nimeazimia kudumisha nambari wani kwa vitendo bana, potelea mbali hata akinitenda ....lol!
Wakuu, kwangu mwaka 2011 ulianza vby sn lkn umeisha vzr sn. Ni mwaka ambao mchezo wa infideliy almanusra uniletee balaa ndoani mwangu. Kuna uzi niliwah kuanzisha humu kuwa small hous nlokuwa nayo balaa. Ninayo mengi sn ya kumshukuru Mungu kwa mwaka huu lakn 1wapo kubwa ni kuumaliza huu mwaka nikiwa huru, kwa mke wangu pekee. Nawapa ushuhuda wazee wenzangu humu kuwa hakuna raha kama kuachana na vifungo vya smal hous. Najua ni wengi humu kwa mda mrefu hawajawa na uhuru wa kumwambia wife awapokelee simu wakiwa mbali nayo. Nawashukuru sn wanajf wote kwa shaur mbalmbal hapa. Kwa namna ya kipekee namshukuru Ashadii ambaye kuna ujumbe wenye maneno ma3 aliowah kuucctza hapa, ambao umekuwa kama silaha wakati nadai uhuru wa moyo wangu. Nawapa moyo sana wazee wenzangu ambao bado wamenasa ktk mitego ya smal hous, waendelee kupambana na mioyo yao, cku 1 watatoka.
Hongera kwa kuamua kujitoa mhanga Mbu. Ukiwa mwoga hata kutoka nje hutotoka!!
Mimi ntazidi kuwaweka marafiki zangu karibu, mapenzi bado sijajua nasimamia upande gani, labda ntasusa mpaka 2014!!Nibaki kuwaangalieni nyie mpaka hapo baadae!!