Mwaka mpya ujao 2017 umepanga kurekebisha nini?

CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,520
2,000
Wakuu naomba kwa wale ambao wana "plan" ya kujirekebisha/kurekebisha jambo fulani "new resolution" pale ambapo wanahisi wamekosea kwa mwaka 2016,
Please share hapa huenda wengi wakajifundisha kitu kupitia kwako,

New Year's Eve has always been a time for looking back to the past, and more importantly, forward to the coming year, It's a time to reflect on the changes we want "or need" to make and resolve to follow through on those changes, So what is your New Year resolutions?

Sorry nimechanganya lugha ili ieleweke vizuri na kwa watu wote,

Karibuni..
 
tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,956
2,000
Resolution yangu nakata misaada kwa jamaa na marafiki wote, 2017 mwaka wa kujitegemea wenyewe. Kila nikisaidia wanazidi kuomba na kujipweteka

Ndukiiiii
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,354
2,000
Wakuu naomba kwa wale ambao wana "plan" ya kujirekebisha/kurekebisha jambo fulani "new resolution" pale ambapo wanahisi wamekosea kwa mwaka 2016,
Please share hapa huenda wengi wakajifundisha kitu kupitia kwako,

New Year's Eve has always been a time for looking back to the past, and more importantly, forward to the coming year, It's a time to reflect on the changes we want "or need" to make and resolve to follow through on those changes, So what is your New Year resolutions?

Sorry nimechanganya lugha ili ieleweke vizuri na kwa watu wote,

Karibuni..
Mimi Nimepanga Kuacha Kutukanana Humu Na Kubishana Na Watu Humu Kuhusu Masuala Ya Alikiba Vs Diamond Na Ukawa Vs CCM

- Nitajikita Zaidi Kujenga Future Ya Maisha Yangu Na Uchumi Wangu, Dairy Yangu Imejaa Mambo Mengi SanaYa Kufanya

- Ndo Kwanza Nimegraduate Chuo Desemba 3, Nauza Tu Sura Mtaani - Sina Hata Kijiko
 
CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,520
2,000
Mimi Nimepanga Kuacha Kutukanana Humu Na Kubishana Na Watu Humu Kuhusu Masuala Ya Alikiba Vs Diamond Na Ukawa Vs CCM

- Nitajikita Zaidi Kujenga Future Ya Maisha Yangu Na Uchumi Wangu, Dairy Yangu Imejaa Mambo Mengi SanaYa Kufanya

- Ndo Kwanza Nimegraduate Chuo Desemba 3, Nauza Tu Sura Mtaani - Sina Hata Kijiko
Good luck Mkuu
Mungu awe nawe.
 
habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,800
2,000
2017 Nitaendelea kukaa mbali na marafiki
2017 sitaishi tena kwenye vyumba viwili narudisha nachukua kimoja kupunguza kutembelewa na ndg, jamaa na marafiki kwa sababu wamekuwa na lawama tu na vijineno neno visivyokuwa na kichwa wala miguu
2017 Sitakuwa na huruma tena
 
shiiiii

Senior Member
Nov 26, 2016
124
225
Nitajitahidi kutumia Kila senti ninayoingiza kuona vyanzo vyangu vya, zamani na vipya kwa mambo Ya kujenga, sitapendA kuona msaada wa masharti magumu nitalipa Ada za watoto Wangu kwa wakati, michango yote ya anasa mmmhh
 
Tazengwa

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
272
500
Mungu ni mkubwa nilipanga kuoa mwaka huu nimefanikiwa na zaidi ya yote nimefungua ka kijiwe kakujipatia mapato kidogo na nashukuru kanaoneshe mwekekeo chanya mwaka ujao najipanga kuwa karibu zaidi na Mungu wangu. Na zaidi ya yote kuwa mtoaji kwa makundi yenye uhitaji nimegundua Kuna siri kubwa sana ya mafanikio katika utoaji em mwenyezi Mungu nisaidie. Amen
 
mensaah

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
985
1,000
Baada ya kusecure Viwanja 3 mwaka huu 2017 naplan kufungua vitega uchumi viwili kwenye site zangu ili kujiongezea kipato na kuanza taratibu maandaliz ya kujiajiri na kuachana na ajira za watu
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,707
2,000
Nasitisha misaada yote ya kifedha
Kimawazo ushauri kwa ndugu na jamaa na mmarafiki msaada utabaki kwa mama na watoto tu wengine msahau kabisa
 
CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,520
2,000
Mungu ni mkubwa nilipanga kuoa mwaka huu nimefanikiwa na zaidi ya yote nimefungua ka kijiwe kakujipatia mapato kidogo na nashukuru kanaoneshe mwekekeo chanya mwaka ujao najipanga kuwa karibu zaidi na Mungu wangu. Na zaidi ya yote kuwa mtoaji kwa makundi yenye uhitaji nimegundua Kuna siri kubwa sana ya mafanikio katika utoaji em mwenyezi Mungu nisaidie. Amen
Safi sana Mkuu Tazengwa, Mungu awe nawe na sisi pamoja..Amin.
 
Liparamba

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
686
1,000
Nataka kuwa na matumizi mazuri ya muda( wakati) ,hasa kupunguza muda wa kupiga stori zisizo za lazima pili Niache Pombe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom