Mwaka mpya ujao 2017 umepanga kurekebisha nini?

2017 sitaki kusikiliza maneno ya ndugu hasa kwenye maendeleo yangu
2017 nataka kuongeza vitega uchumi .
2017marafiki zangu ule utaratibu wa kujitegemea kwenye bata ndiyo naukaza zaidi kama upo humu mjipange ha hahahaha msinikimbie lakini ,, ila mkitaka kunitoa out offer nakuja ,, ila sitoi mimi
 
Kuacha kuchangia Harusi zisizo na Tija. Maana nimejaribu kupiga hesabu kwa mwaka 2016 pekee jumla ya kiasi nilichotumia huko ni balaa.
 
2017 ni mwaka wa kukaza tu maana hii dunia ishavaa pichu huku maguful huku trump hakuna pa kukimbilia..

sichangii harusi tenaaaaaa...

kukaa mbali na marafiki na ndugu wanafiki.. sitaruhusu mtu anijue kiundaniiii..

2017 ni mwaka wa maendeleo tu...
 
Kuongeza hela
Kuongeza kwenda kanisani
Kutoa michango ya harusi ili watu waolewe na kuoa
Kutoa michango ya Send off
Kutoa sadaka na Zaka kanisani
Kulea Mwanangu
Kujenga
Kumpenda mke wangu
Kuipenda Familia yangu

Kuachana na wanafiki

Kutomfatilia Faru Joni na Nchi yake maana nahisi utakuwa mwaka mgumu sana
 
Back
Top Bottom