Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 657
- 955
Mimi ukinikataa ukiona nakuja na chombo cha moto kaa mbali nauaKwani kumkataa mtu ndio uadui unaanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ukinikataa ukiona nakuja na chombo cha moto kaa mbali nauaKwani kumkataa mtu ndio uadui unaanza?
Nina ubavu huo wa kutopenda kukusikia? Nimeoza ujueHunisikii kwasababu hutaki kunisikia
Nipo humu kila siku
Haha lazma uadui uwepo, kuwa mkweli, kwa mfano hata ww ukijaribu kumtongoza mwanaume/ kujipendekeza kwa mwanaume unaempenda half akakukataa, lazima moyoni umchukie hata usipomuonesha usoni, lkn rohoni utakuwa unamchukia kwasababu kakukataa kimapenzi joanah
😂😂😂😂
Nina ubavu huo wa kutopenda kukusikia? Nimeoza ujue
TehKakukataa kaogopa jina mzee wa kasumba ucje ukamkosesha amani ya Moyo kaona bora aendelee na boda wake
Sent using Jamii Forums mobile app