Mwaka mpya na mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka mpya na mabadiliko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzambia, Dec 31, 2010.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani wana jf tuombe mwaka 2011 uwe wa mema na fanaka maaana majanga kama
  1. Kura kuchakachuliwa
  2. Dowans madeni
  3. Mgombea binafsi
  4. Umeya utata wa majiji
  5. Kura za maoni zilivyosaidia upinzani
  6. ......
  Ongezeeni jamani ili tuombeeee
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nilisahau na
  6. Hukumu ya chenge
  7. Sitta kutoswa uspika
  8. Slaa kugombea urais
  9. Magufuli na mwakyembe kupewa wizara moja ya ujenzi
  10. .....
   
Loading...