Mwaka mpya 2013 umekukuta unafanya nini?

BORNCV

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
242
Reaction score
46
Mimi mwaka mpya umenikuta niko church nikimuabudu Mungu. Je, wewe mwaka mpya umekukutia wapi?
 
Mimi mwaka mpya umenikuta niko church nikimuabudu Mungu. Je, wewe mwaka mpya umekukutia wapi?

dah...maswali kama haya yanatutia soni ujue.....
 
Mutoto ya Sky ku Lounge.....mwaka mpya ukukute wapi tena! dear Heri ya Mwaka Mpya

asante sana nawe pia nikutakie heri ya mwaka mpya....ila hili swali limenigusa pabaya....
 
dah...maswali kama haya yanatutia soni ujue.....

Ndiyo Ukome sasa na hizo ishu zako..
Ila unaonaje tukiuanza mwaka huu mimi na wewe tu?
Akina sijui Mtu Chake, sijui Kakakiiza, sijui ErickB52 tupa kule....
Au unasemaje eti wangu? :mwaaah:

:cheer2:Hepi Nyuu Yia :cheer2:
 
Kweli unatakujua nilikuwa na fanya nn! !!!
 
Nimeimiss juisi yetu ujue, mie niliamka mapema sana ati, ulivopiga nilikua na KOKUTONA ndio maana sikupokea simu

Ha ha ha Mwanyasi unamrusha mtu roho au?

Mi nilijua utafanya siri mwenzangu umeyaleta huku lol.
 
Last edited by a moderator:
duh!! KOKUTONA we kiboko yani umemtoa Arushaone alfajiri umevuta Mwanyasi. Hongera zako best
Mwanyasi tulikuwa tunapiga stori tuu alikuwa anataka contact za Smile, mbona alivyokuwepo na Arushaone alikuwepo, kumbuka ameondoka alasiri ya leo.

Sema mwenyewe alisema tusimwambie mtu kuwa alikuja mitaa ya kwetu, nilivyomkuta amesema si ndo nimemshangaa???????????????
 
Last edited by a moderator:
Maasha ALLAH. Mwaka mpya niliusubiri kwa kusikiliza maneno matam kuliko chochote (QUR AN). Huku nikiwashangaa wanao weka ghasia mitaani na kuukaribisha kwa maneno ya iblisi la i'n. (muziki/nyimbo).
Hivi niwangapi tulojihesabu tumefanya wema gani kwa ALLAH, na tumeasi kiasi gani? na tumejipanga vp kutubia maasi hayo ktk mwaka huu!!? Au tuna uhakika kama tutafika mwaka 2014? Kazi kupenda upuuzi tu! Tafakari, kisha jihadhari. Uhai ni amana, wakati wwte utatutoka. MAASSALAAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…