weee! Ishia hpo, hapo! Slaa yeye ndo vazi la asili ya kwao ndo mana ha2semi! Mzanziber na shuka wp na wp? Tehe, tehe, tehe! Amekuwa km ajuza walah tn! Hapo akkabidhiwa na ucnga Kwishnehi, aanze kugawa vkombe bas, manake hyo kaz ndo imfaayo! Tehe tehe tehe! Kwel nmeshuhudia kiroja cha kufungulia mwka!