Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,431
- 4,802
Kheri ya kuelekea mwisho wa mwaka.
Binafsi nimechoka usafiri wa umma. Mambo ya kuswekwa kwenye usafiri kama vifaranga vya kuku kwenye tenga sitokubali ikifika 2024.
Usafiri huu ni kwa ajili ya masikini tu. Umasikini ni laana. Yaani asubuhi harufu za manukato ya bei chee zinatawala ila jioni na usiku ni mwendo wa kupakana jasho.
Nimeamua ni bora nifanye kazi zangu online kwa VPN au any Desk. Ikishindikana nitakodi hata bajaji kwenda kwenye mishemishe zangu mjini.
Nimeukataa umasikini rasmi. Poleni sana ndugu zangu mtakaoendelea na huo usafiri. Nikirudi huko mjue nimefulia na sina namna.
Asalaam