DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 12,854
- 29,057
Hichi kitabu nakipenda sana....View attachment 2854361
The complete book of numerology, Discovering the inner self (David, A.b Phillips Ph.D,)..ni Moja ya sehemu ya vyanzo vya ninayoyaeleza hapa
Please naomba nirushie kama hutojali DrHichi kitabu nakipenda sana....
Heres' My numerology library..
View attachment 2854417View attachment 2854417View attachment 2854417
View attachment 2854416
Wewe ni namba 8 ( 3+5=8 )Mimi namba yangu ni 35 inamaana gani?
Kuna mma mmoja alisema mwanangu uwe makini sana ogopa kusafiri tarehe hizi 8, 18 na 28 akasema naona ni tarehe za hatari sana kwakoWewe ni namba 8 ( 3+5=8 )
Kwa mujibu wa imani za numerolojia, tarehe zinazomalizika na 8 (kama vile 8, 18, na 28) mara nyingi zinachukuliwa kama tarehe zenye mchanganyiko wa changamoto na mafanikio. Wakati mwingine zinaweza kuleta mabadiliko au majaribu ambayo yanahitaji kujitolea zaidi ili kufikia malengo. Hata hivyo, kila mtu na muktadha wake ni tofauti, hivyo haizingatii kila wakati.Kuna mma mmoja alisema mwanangu uwe makini sana ogopa kusafiri tarehe hizi 8, 18 na 28 akasema naona ni tarehe za hatari sana kwako
Naomba kuhusu number 2 na number 5 pleaseKama ni jina la mtu (T + A + N + E + S + C + O)(2 + 1 + 5 + 5 + 1 + 3 + 6)= 23,
Kisha namba 23 inachambuliwa zaidi: 2 + 3 = 5
Hivyo, kwa mbinu ya kinumerolojia, jina "Tanesco" inaweza kuwa na namba 5. Namba hii ya kinumerolojia inaweza kuashiria sifa za ubunifu, uhuru, na mabadiliko katika maisha.
Namba 5 katika kinumerolojia inaweza kuhusishwa na udhaifu wa kutokuwa na utulivu, kutoelekezwa, au hata kutokuwa na uvumilivu. Mara nyingine, watu walio na mwelekeo kwenye namba 5 wanaweza kupata changamoto katika kufanya maamuzi thabiti au kuwa na utulivu wa mawazo. Wanaweza pia kuwa na hamu ya kubadilika mara kwa mara, hivyo kusababisha ugumu katika kuzingatia malengo fulani au kumaliza miradi waliyoianzisha. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa hizi ni tabia ambazo mtu anaweza kuzitambua na kuzifanyia kazi ili kuboresha maisha yao.
uko very soft katika kuwasilisha unateleza inclusive, peculiar na diverse na kuipa uzito exception, uko very holisticKwa mujibu wa imani za numerolojia, tarehe zinazomalizika na 8 (kama vile 8, 18, na 28) mara nyingi zinachukuliwa kama tarehe zenye mchanganyiko wa changamoto na mafanikio. Wakati mwingine zinaweza kuleta mabadiliko au majaribu ambayo yanahitaji kujitolea zaidi ili kufikia malengo. Hata hivyo, kila mtu na muktadha wake ni tofauti, hivyo haizingatii kila wakati.
Kwa mfano, namba 8 inaweza kuwa na maana ya mafanikio ya kifedha, nguvu, au mabadiliko makubwa katika maisha. Hivyo, wakati tarehe inaishia na namba hii, inaweza kuleta changamoto au fursa zinazohusiana na sifa hizo. Hata hivyo, ni imani ya kibinafsi na haitegemei mambo ya kisayansi au ushahidi halisi.
Katika elimu hii, kila namba ina maana yake. Namba 2 inahusishwa na sifa kama vile usawa, ushirikiano, urafiki, na uwiano. Ni namba inayowakilisha ushirikiano na utulivu, mara nyingi inaunganishwa na upendo na uelewano.Naomba kuhusu number 2 na number 5 please
Natamani kujua zaidi kuitumia pythagorean katika kutambua vitu mbalimbaliIla ukitumia Pythagorean Birthchat unao uwezo wa kunjua mtu hata bila yeye mwenyewe kujieleza kwa kutumia Only Tarehe, mwezi na mwaka ..
Hapa sizungumzii Life path au Destiny namba bado ila kuna vitu kibao sana kuhusu hizo 3 plane za Pythagorean...
Ila kiukweli umeongea ukweli sana kuhusu Namba 8..
Acha kutusi basi jamaaAmka ww utajikojolea
Labda aliona jambo ila ki numerolojia navyojua hkn namba 18 , hii 18 unaiweka ktk singo digit 1+8= 9 sasa hpo ni kujua tisa ina maanisha nn na hiyo 28 ni 2+8 = 10 , 1+0= 1 ..inabidi ujue 1 ina sifa zipiKuna mma mmoja alisema mwanangu uwe makini sana ogopa kusafiri tarehe hizi 8, 18 na 28 akasema naona ni tarehe za hatari sana kwako
Reduction to single digit (1-9,)Labda aliona jambo ila ki numerolojia navyojua hkn namba 18 , hii 18 unaiweka ktk singo digit 1+8= 9 sasa hpo ni kujua tisa ina maanisha nn na hiyo 28 ni 2+8 = 10 , 1+0= 1 ..inabidi ujue 1 ina sifa zipi
Hivi ndiyo mm najua..
NB : namba 11,22 na 33 ni master namba zina sifa zake hizi hujumlishi km hapo juu kupata singo digit
Hapo nadhani ni uwepo wa 8 yenyewe kwenye hizo tarehe nadhani wanajimu wanajua na huwa wakisema wanaona kitu ikiwemo kazi za maadui zetu na mipango yaoLabda aliona jambo ila ki numerolojia navyojua hkn namba 18 , hii 18 unaiweka ktk singo digit 1+8= 9 sasa hpo ni kujua tisa ina maanisha nn na hiyo 28 ni 2+8 = 10 , 1+0= 1 ..inabidi ujue 1 ina sifa zipi
Hivi ndiyo mm najua..
NB : namba 11,22 na 33 ni master namba zina sifa zake hizi hujumlishi km hapo juu kupata singo digit
Inawezekana,alitazama hadi siku ya hiyo tateheHapo nadhani ni uwepo wa 8 yenyewe kwenye hizo tarehe nadhani wanajimu wanajua na huwa wakisema wanaona kitu ikiwemo kazi za maadui zetu na mipango yao
Siyo unadhani, ndivyo ilivyo.Hapo nadhani ni uwepo wa 8 yenyewe kwenye hizo tarehe nadhani wanajimu wanajua na huwa wakisema wanaona kitu ikiwemo kazi za maadui zetu na mipango yao
Inawezekana lakini usirely sana na haya mambo mwisho wa siku watu watakuogopa watakuita mchawiNatamani kujua zaidi kuitumia pythagorean katika kutambua vitu mbalimbali
Nitumie DrInawezekana lakini usirely sana na haya mambo mwisho wa siku watu watakuogopa watakuita mchawi
Nitakurushia Soon..Please naomba nirushie kama hutojali Dr
Natanguliza shukraniNitakurushia Soon