Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,142
- 5,661
Subiria manabii na wabashiri waje hawatoki nje ya hayo hapo juu trust me nipo hapa.Nishazoea hizi mambo hua ni kudanganyana tu, kipindi flan nlimsikiliza Dr Eliud Nasseco(Sina hakika kama jina la pili lipo sahihi) alifafanua mwaka huu utakua hv na hv sijui numerology namba hii ina maana hii...... Nikaona ule mwaka wa kukaaa meza moja na Bakhresa ndo huu sasa nikazama stationary nikanunua notebook nikaorodhesha tuvitu vitu .......ngoja ncheke kwanza tarudi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nishazoea hizi mambo hua ni kudanganyana tu, kipindi flan nlimsikiliza Dr Eliud Nasseco(Sina hakika kama jina la pili lipo sahihi) alifafanua mwaka huu utakua hv na hv sijui numerology namba hii ina maana hii...... Nikaona ule mwaka wa kukaaa meza moja na Bakhresa ndo huu sasa nikazama stationary nikanunua notebook nikaorodhesha tuvitu vitu .......ngoja ncheke kwanza tarudi
Kuna vitu ukiwa mjanja huwezi shindwa ku-anticipate mfano rahis ebu sema chochote kuhusu TANESCO 2024🤔najua kama ww ni mjanja 80% ya utakachosema ni kweliSubiria manabii na wabashiri waje hawatoki nje ya hayo hapo juu trust me nipo hapa.
Hakika kuna vitu majibu yake yapo wazi kabisaKuna vitu ukiwa mjanja huwezi shindwa ku-anticipate mfano rahis ebu sema chochote kuhusu TANESCO 2024🤔najua kama ww ni mjanja 80% ya utakachosema ni kweli
Watafanana tu maaana kama ni kujifunza elimu ya unajimu wote walijifunza pamoja ni kama Leo wanafunzi wawili Moja kutoka majengo sec na mwingine kutoka Sanu seminary wakikuelezea topic ya biology form two "TRANSPORT OF MATERIAL IN LIVING THINGS" kwa sehemu kubwa maelezo yao yatafanana watapishana kidogo tu katika namna ya kuelezea lakini haitabadili dhanaWatakaotabiri wote watazunguka ndani ya hayo niliyoandika hapo juu kama mzunguko wa namba nane ulivyo "infinity" tuendelee kufuatilia.
Ntajuaje namba yanguWatu wenye namba nane kinumerolojia wanajulikana kwa kuwa na sifa za uongozi, ustadi wa kuandaa mambo, uwezo wa kufanya kazi kwa bidii, na kutafuta mafanikio katika maisha yao. Pia, mara nyingi huonyesha kujitolea kwa kazi zao na kuwa na utulivu katika kukabiliana na changamoto.
Hahahah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂Nishazoea hizi mambo hua ni kudanganyana tu, kipindi flan nlimsikiliza Dr Eliud Nasseco(Sina hakika kama jina la pili lipo sahihi) alifafanua mwaka huu utakua hv na hv sijui numerology namba hii ina maana hii...... Nikaona ule mwaka wa kukaaa meza moja na Bakhresa ndo huu sasa nikazama stationary nikanunua notebook nikaorodhesha tuvitu vitu .......ngoja ncheke kwanza tarudi
Kuna njia mbalimbali za kujua namba yako kinajimu. Unaweza kutumia tarehe yako ya kuzaliwa kufanya hesabu ya namba yako ya kuzaliwa. Kisha unaweza kuchambua namba hiyo kulingana na kanuni za numerolojia. Kwa mfano, kwa kuchanganya na kufanya hesabu ya namba zinazounda tarehe yako ya kuzaliwa, unaweza kupata namba yako kinajimu.Ntajuaje namba yangu