T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 4,007 Reaction score 5,969 Nov 14, 2023 #41 Donatila said: Naona unachoma sindano kwa kidonda Click to expand... Bila ganzi
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Nov 14, 2023 #42 Nkundwe Sr said: Mwaka huu nimezaa na mshangazi 2023 Click to expand... Safi sana
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Nov 14, 2023 #43 Huu mwaka nauchukia kwasababu mdogo wangu wa mwisho tulimzika Mwezi 6, natamani uishe haraka sana
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Nov 14, 2023 Thread starter #44 Mbwa dume said: Makonda Click to expand... Hicho ndo Kituko chako
T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 4,007 Reaction score 5,969 Nov 14, 2023 #45 Donatila said: Muweke ndani kabisa... Click to expand... Dahhhh Donatila said: Muweke ndani kabisa... Click to expand... Maadiili hamna. Ngono zembe Af ukute shangazi yake ana miaka 40,huku dogo ana 20
Donatila said: Muweke ndani kabisa... Click to expand... Dahhhh Donatila said: Muweke ndani kabisa... Click to expand... Maadiili hamna. Ngono zembe Af ukute shangazi yake ana miaka 40,huku dogo ana 20
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Nov 14, 2023 Thread starter #46 Chukwu emeka said: Huu mwaka nauchukia kwasababu mdogo wangu wa mwisho tulimzika Mwezi 6, natamani uishe haraka sana Click to expand... Pole sana mkuu...
Chukwu emeka said: Huu mwaka nauchukia kwasababu mdogo wangu wa mwisho tulimzika Mwezi 6, natamani uishe haraka sana Click to expand... Pole sana mkuu...
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Nov 14, 2023 #47 Chukwu emeka said: Huu mwaka nauchukia kwasababu mdogo wangu wa mwisho tulimzika Mwezi 6, natamani uishe haraka sana Click to expand... Dah pole sana
Chukwu emeka said: Huu mwaka nauchukia kwasababu mdogo wangu wa mwisho tulimzika Mwezi 6, natamani uishe haraka sana Click to expand... Dah pole sana
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Nov 14, 2023 Thread starter #48 CityHunter1 said: Dahhhh Maadiili hamna. Ngono zembe Af ukute shangazi yake ana miaka 40,huku dogo ana 20 Click to expand... Si wanasema mapenzi hayana umri
CityHunter1 said: Dahhhh Maadiili hamna. Ngono zembe Af ukute shangazi yake ana miaka 40,huku dogo ana 20 Click to expand... Si wanasema mapenzi hayana umri
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Nov 14, 2023 #49 Chukwu emeka said: Huu mwaka nauchukia kwasababu mdogo wangu wa mwisho tulimzika Mwezi 6, natamani uishe haraka sana Click to expand... Pole sana.
Chukwu emeka said: Huu mwaka nauchukia kwasababu mdogo wangu wa mwisho tulimzika Mwezi 6, natamani uishe haraka sana Click to expand... Pole sana.
Nkundwe Sr JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 6,299 Reaction score 9,798 Nov 14, 2023 #50 Donatila said: Muweke ndani kabisa... Click to expand... Ndani polisi?
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Nov 14, 2023 Thread starter #51 Mwenye update na kile kituko cha walioongeza makalio kule Mloganzila akuje
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Nov 14, 2023 Thread starter #52 Nkundwe Sr said: Ndani polisi? Click to expand... kule walipokulana kimasihara
T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 4,007 Reaction score 5,969 Nov 14, 2023 #53 Donatila said: Si wanasema mapenzi hayana umri Click to expand... Ulaaniwe kama unakubaliana na hili. Kala tunda la shangazi kimasihara
Donatila said: Si wanasema mapenzi hayana umri Click to expand... Ulaaniwe kama unakubaliana na hili. Kala tunda la shangazi kimasihara
Nkundwe Sr JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 6,299 Reaction score 9,798 Nov 14, 2023 #54 Donatila said: kule walipokulana kimasihara Click to expand... Haaaaah ntakuzaba
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Nov 14, 2023 #55 Half american said: Watanipa tu vinginevyo wamuoe wenyewe Click to expand... Mwenye ndugu yuko tayari kukupatia kwa roho nyeupe ? Ikiwa anafahamu shemeji mtu una tabia kama za mcheza sinema 18+🤣.. Kama moyo haumshtuki bhas iwe kheriii.
Half american said: Watanipa tu vinginevyo wamuoe wenyewe Click to expand... Mwenye ndugu yuko tayari kukupatia kwa roho nyeupe ? Ikiwa anafahamu shemeji mtu una tabia kama za mcheza sinema 18+🤣.. Kama moyo haumshtuki bhas iwe kheriii.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Nov 14, 2023 #56 Zulu man said: Pole sana. Click to expand... Asante sana mkuu 🙏
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,961 Reaction score 24,187 Nov 14, 2023 #57 mshamba_hachekwi said: Kuna kibinti kilinipasulia simu yangu, kilinidaka nachepuka. Inauma sana. Click to expand... Hahaha!. Kuchepuka ni kwa wanandoa. Sasa ninyi hamjaoana. Mnakulana tu. Akakuvunjia na simu? Hahahaha. Pole sana dogo.
mshamba_hachekwi said: Kuna kibinti kilinipasulia simu yangu, kilinidaka nachepuka. Inauma sana. Click to expand... Hahaha!. Kuchepuka ni kwa wanandoa. Sasa ninyi hamjaoana. Mnakulana tu. Akakuvunjia na simu? Hahahaha. Pole sana dogo.
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Nov 14, 2023 Thread starter #58 CityHunter1 said: Ulaaniwe kama unakubaliana na hili. Kala tunda la shangazi kimasihara Click to expand... Mbona makasiriko... Mi sijakubaliana, nimesema aoe aweke ndani
CityHunter1 said: Ulaaniwe kama unakubaliana na hili. Kala tunda la shangazi kimasihara Click to expand... Mbona makasiriko... Mi sijakubaliana, nimesema aoe aweke ndani
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Nov 14, 2023 #59 Tresor Mandala said: Dah pole sana Click to expand... Asante sana mkuu 🙏
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Nov 14, 2023 Thread starter #60 Nkundwe Sr said: Haaaaah ntakuzaba Click to expand... Napenda joke