Nilichelewa sana kujua people donāt āplay fairā kwenye kupambania.
I have learnt the hard way kwamba kuna muda UNACHEZA RAFU! Otherwise utabaki unaangalia wenzako wanajenga majumba,
wanaendesha ndinga kali, watoto wanasoma shule nzuri etc wewe upo tu. Acha inyeshe tuone inapo vuja welcome 2024 kwa Blessing nyingi