The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,568
- 1,782
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwaka ndio huo umekatika njooni tupeane fursa za kibiashara kwa mwaka 2021. Ili tuweze kujipanga vyema.
Kwa mwaka 2021 afe kipa, afe beki lazima nianzishe kabiashara japo kadogo, nafikiria kufanya biashara kwenye masoko, nalenga kuanzisha banda la chakula na pia kuuza mifuko (woven bag) jumla na reja reja nitaanza na mtaji mdogo kabisa sitokubali kutegemea tena mshahara.
Wakuu njooni tupeane frursa na changamoto.