Mwaka 2020 Bungeni CCM pekee!

Mwaka 2020 Bungeni CCM pekee!

Sontojo

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
63
Reaction score
20
Uchaguzi mdogo wa marudio wa Siha na Kinondoni ni kielelezo tosha kuwa upinzani umepoteza dira na kupotea hapa Tanzania.

Hawakuwa na jipya katika kampeni na hawakuwa na jipya baada ya matokeo na bora sana wale ambao hawakushiriki maana hawajajulikana udhaifu wao na wameokoa rasilimali pesa.

Kwa tofauti ile ya kura sidhani kama kulikuwa na wizi wa kura kwa sasa tunaomba tuacheni tuendelee na kazi zetu siasa zimeisha juzi.

Ili kuweka amani sasa naomba wapinzani wote mjiandae na matokeo ya 2020 maana nahisi upinzani hautakuwa na mwakilishi bungeni.

Haki tena na kama kuna mtu anabisha aje na evidence hapa na ushawishi unaoeleweka.

Asante sana
 
Amna Tatizo kwani akina Idd Amini wako wapi waliokuwa na madaraka kama ya Magufuli.
 
Kwa mwendo huu kabla ya 2020 hakutakuwa na Tanzania..wacha huu ujinga uendelee matokeo tutyaona
 
Kwani wataishi milele.Sawa tu kwani Kuna shida wasichojua muda wa kuishi duniani Ni kidogo kuliko muda wa kuishi kaburini huku umeacha alama isiyofutika.Idd Amin,Hilter na wengine wengi wako wapi hata vizazi vyao havipo.Mwacheni Mungu aitwe Mungu soon mtaona one by one 'wanapia'
 
Evidance gani wakati 2020 haijafika bado, wewe unaye sema upinzani kwisha ndio uje na evidence za hayo unayosema

Hebu nipe tofauti ya mtu aliyeshindwa na mtu aliyesababisha mtu kushindwa
 
Upinzani utaendelea kuwepo tu mikoa kama Mbeya huwa inachafuka sana polisi wakileta Ujinga utaona tu
 
Uchaguzi mdogo wa marudio wa Siha na Kinondoni ni kielelezo tosha kuwa upinzani umepoteza dira na kupotea hapa Tanzania.

Hawakuwa na jipya katika kampeni na hawakuwa na jipya baada ya matokeo na bora sana wale ambao hawakushiriki maana hawajajulikana udhaifu wao na wameokoa rasilimali pesa.

Kwa tofauti ile ya kura sidhani kama kulikuwa na wizi wa kura kwa sasa tunaomba tuacheni tuendelee na kazi zetu siasa zimeisha juzi.

Ili kuweka amani sasa naomba wapinzani wote mjiandae na matokeo ya 2020 maana nahisi upinzani hautakuwa na mwakilishi bungeni.

Haki tena na kama kuna mtu anabisha aje na evidence hapa na ushawishi unaoeleweka.

Asante sana
Umelipwa ngapi mkuu?
 
Umelipwa ngapi mkuu?

Sijalipwa hata cent ila kama kutakuwa na consideration yoyote please njoo inbox. Naamini hii post yangu itakuwa na maana endapo utaiweka ili 2020 usipoteze nguvu na muda kuandika maneno mengi
 
Unashangilia ujinga. Elewa bila upinzani hiyo CCM yako haitakuwa na thamani.

Huu sio ushabiki wa mpira. NI MAISHA YA MTANZANIA
 
Back
Top Bottom