Gulio Blog JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,056 Reaction score 4,124 Dec 18, 2017 #1 Habari za siku ndugu zangu natumaini ni wazima Kuna utafiti kidogo nataka nifanye kama ambavyo umeona kichwa cha habari hapo juu Usipite hivi hivi hii mada inatugusa wote watumiaji wa hii forum
Habari za siku ndugu zangu natumaini ni wazima Kuna utafiti kidogo nataka nifanye kama ambavyo umeona kichwa cha habari hapo juu Usipite hivi hivi hii mada inatugusa wote watumiaji wa hii forum
popoma JF-Expert Member Joined May 5, 2017 Posts 2,378 Reaction score 3,363 Dec 18, 2017 #2 Jukwa la siasa uchwara za CCM
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,848 Dec 18, 2017 #3 Dah Tanganyika yangu !!!
Dumbuya JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 596 Reaction score 881 Dec 18, 2017 #4 Ya kwanza bila shaka ni Jukwaa la Siasa,kisha Biashara na namba tatu ni Mmu,namba 4 Jamii Intelligence na mwisho kabisa matangazo madogo madogo.Hiyo ni top 5 🙂
Ya kwanza bila shaka ni Jukwaa la Siasa,kisha Biashara na namba tatu ni Mmu,namba 4 Jamii Intelligence na mwisho kabisa matangazo madogo madogo.Hiyo ni top 5 🙂
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,835 Reaction score 140,900 Dec 18, 2017 #6 Jukwaa la Mambo ya Kikubwa