Mwajuma fuata wako

MC Chere

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
586
Reaction score
400
"Big born"
"Mkali wao wa kitaa"
"Nyota ya kitanda"
"Usinichokoze"
"We ---- nini"
"Mwajuma fuata ----- wako"
Ni maneno mengi mno huandikwa humo,hivi lengo lao/lenu huwa ni nini?
Unajua,natafakari,kisha namuona kijana anauliza bei ya maker pen na kuinunua kwa 500,halafu anaweka mfukoni na kwenda nayo toilet kwa kazi hiyo?
je,ni faida gani mnayoipata

Je,wa upande wa Lara 1,huko upande wenu upoje,yaani kuna vitu hivi?


Is me MC Chere kipenzi cha Lara 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…