Nadhani hilo jibu hapo linajitosheleza,kuna mashirika ya uma yaliyo chini ya serikali na kuna yanayo jiendesha yenyewe bila ya kutegemea ruzuku kutoka serikalini na kunamengine ambayo yanapokea ruzuku kutoka serikalini kuna serikali za mitaa kuna taasisi zilizoko chini ya serikali na kuna serikali kuu kama vile kwenye mawizara hivyo basi watendaji hao wote wako chini ya serikali kwamaana hiyo ni watumishi wa uma mishahara inatoka hazina ila kuna mashirika mengine yanajitegemea kwenye mishahara lakini bado yako chini ya serikali.Nadhani utakuwa umenisoma kidogo.