Mwaipopo anadhalilisha cheo cha Usheikhe.

Bw John Mwaipopo sio Sheikh wa lolote hana elimu yoyote ya Kiislamu zaidi ya hapa na pale alipokuwa Zanzibar
Anatumiwa tuu.
 
Neno Sheikh si cheo cha lazima au daraja maalumu la kidini katika Uislam.
 
Akili ya shehe ubwabwa Mwaipopo ni sawa na ya Yericko, wote ni wehu!
 
Ila katusaidia sana kujua kuwa uchaguzi haukufanyika kwa sababu ya vurugu. Swali, je zile 98% zilitoka wapi wakati uchaguzi haukufanyika?
Mwaipopo chunga sana kwani unaodhani wamekuweka mbele kama spika watakushughuloloa maana umewasokomezea kaa la moto kunako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…