Mwaghona?

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Kila gumu unalokutana nalo mbele yako, limebeba siri ya mafanikio yako!
Linda Moyo wako Usinung'unike kutokana na magumu unayokutana nayo katika mizunguko yako!
Lakini ufundishe moyo wako kuamini mafanikio yaliyo mbele yako!
Usiangalie nani anasema nini!
Yupi anasema kipi juu ya maisha yako!
Jambo la msingi fanya kazi kwa bidii zote na simamia mipango yako!
Hakika siku moja utajikuta wewe si mtu wa kawaida,
bali mtu wa thamani sana.
Waliokuwa wanakudharau watakuheshimu !
Mungu akuinue daima katika maisha yako! Ndio maombi yangu kwa Mungu juu yako kila siku, Usiogope Mungu yuko pamoja nawe.
 

Sababu ya maana ya kutembelea jukwaa hili, very wise words, Amen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…