Mwafrika, Mwarabu na mzungu

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Kulikuwa na wafungwa watatu Muafrika,Muarabu na mzungu ambao walikuwa wanatakiwa wapewe mtihani kdogo ili wakifaulu watasamehewa wakifeli itabidi waendelee kufungwa King akawapa muda watembelee bustani yake pale Izulwini na kuangalia mti au mmea wa aina yoyote ambao hautakuwepo na itawabidi wakautafute na kumpelekea Mfalme huyo.Baada ya muda mfupi Muarabu akawa anarudi.
KING:Umekuja na mbegu gani?
MUARABU:mbegu za michongoma
KING:Nyang'au mkubwa we,hujaiona michongoma ilivyojaa hapa? Adhabu yako vua nguo na ingiza hizo mbegu zako zote ktk sehemu inayotoka haja kubwa.Mara Muafrika naye akawa anakuja
KING:Umekuja na nini?
MUAFRIKA:Mbegu za ukwaju
KING:pumbavu we hujaona mikwaju ilivyojazana hapa?Ndipo King Mswathi III alipomuamuru yule Muafrika afanye adhabu kama anayoyafanya Muarabu yule ndipo Muafrika alipoanza kucheka
MUARABU:Unanicheka nini sasa?...
MUAFRIKA:mie sikucheki wewe namcheka mzungu nimemuona anakuja na Boga wakati maboga hapa yapo
 
Hii si ngeni kwangu lkn mwafrika alipocheka, nimejikuta nikimpa sapoti
 
Sio laku cheka labda mzungu amesoea hakokamchezo la weza pwaya hilo boga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom