mwafaka wa ajira za walimu wapya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwafaka wa ajira za walimu wapya.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by cypro mangi shayo, Jan 14, 2012.

 1. c

  cypro mangi shayo Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daa! Nadhan wana jf mnazo tetesi juu ya ajira zetu.ebu tupien kile mnachojua kuhusu hili.tumekichoka kitaa
   
 2. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  mimi ninawashauri ni heri muunde umoja wa pamoja na muanze kujiandaaa kufanya maandamano kuelekea wizara ya elimu
  mkikaaa kimya mtashangaaa 2015 uongozi unakiswa sasa hamjui uongozi ujao kama unawatambua
   
 3. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ajira zenu next week. Soma Mwananchi ya leo
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  kila siku kesho,kila siku kesho .....fanyeni maandamano
   
Loading...