Mwadhama Kardinal Protase Rugambwa akipewa zawadi huko Santa Maria in Montesanto Roma Rugambwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,321
24,228
19 February 2024
Santa Maria in Montesanto, Rome

Mwadhama Protase Rugambwa akabidhiwa Kanisa huko Santa Maria in Montesanto Roma


View: https://m.youtube.com/watch?v=9F-vL_3kORk
Mpenzi mtazamaji wa Shuhudia Zawadi aliyopewa Mwadhama Kardinal Protase Rugambwa huko Santa Maria Montsanto Roma Itali katika Misa Takatifu ya Dominika ya kwanza Kwaresma na kukabidhiwa Kanisa hilo

Sherehe iliyoambatana na sala wakati wa kukabidhishwa huku akiwa pia ni askofu mkuu (Arcivescovo) wa Jimbo la Tabora pia Kardinali mwenye makazi Tabora Tanzania.

Sherehe zilihudhuriwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy mheshimiwa balozi Mahmoud Thabit Kombo, Wanafunzi wa Vatican na Diaspora iliyopo Roma
source : Nkomokomomedia
 
Asante
Hii habari kuhusu zawadi inafaida gani kwa mtanzania

Ni habari ya kiroho kwa wenye imani pia katika uwanja wa diplomasia ya sera ya kufungua nchi, inaongeza ushawishi wa Tanzania katika nyanja kadha ndiyo maana balozi wa Tanzania nchini Italy mheshimiwa balozi Mahmoud Thabit Kombo alikuwepo kushuhudia heshima hiyo kwa kanisa na pia taifa kwa ujumla wake.

HABARI KWA KINA TOKA ROMA :
KARDINALI PROTASE RUGAMBWA AKABIDHISHWA KANISA LA SANTA MARIA IN MONTESANTO ROME

View: https://m.youtube.com/watch?v=PfOyI0V2PQo

ENEO HILI HUVUTIA WAUMINI WAFIKAPO ROMA KUTOKANA NA HISTORIA

Santa Maria in Montesanto ilibuniwa awali na Carlo Rainaldi mnamo 1662 na kukamilishwa na Carlo Fontana mnamo 1675, ambaye alisimamiwa na mwalimu wake mahiri, Bernini.

Kanisa liliitwa Montesanto (Mlima Mtakatifu), ambayo inahusu Mlima Karmeli katika Israeli. Kuna sanamu nzuri ambazo hulinda nje ya kanisa linalojulikana zaidi kwa Misa ya Wasanii.
 
Hivi Tofauti ya Mwadhama na Mwasham au Muhasham ni niini?
Unakuta Sshemu imeandikwa Mwasham askofu fulani au Muhasham askofu fulani??
 
Hivi Tofauti ya Mwadhama na Mwasham au Muhasham ni niini?
Unakuta Sshemu imeandikwa Mwasham askofu fulani au Muhasham askofu fulani??
Muadhama ni jina la heshima kwa Kadinali

Mhashamu ni jina la heshima kwa Askofu/Askofu Mkuu...

Ni kama vile tu kajambanani kama mimi nikidedi naitwa marehemu... Lakini wakifa manguli kama Nyerere, Lowassa, Magufuli... wanaitwa Hayati....

Uzuri mbinguni wote tuna haki sawa, asema Bwana wa Majeshi.... Unakutana na Magufuli kiroho safi kabisa na wala hana mamlaka ya kukutuma umletee maji ya kunywa, sembuse kukutumbua...
 
20 February 2024
Santa Maria in Montesanto, Rome

Mwadhama Protase Rugambwa akabidhiwa Kanisa huko Santa Maria in Montesanto Roma


View: https://m.youtube.com/watch?v=9F-vL_3kORk
Mpenzi mtazamaji wa Shuhudia Zawadi aliyopewa Mwadhama Kardinal Protase Rugambwa huko Santa Maria Montsanto Roma Itali katika Misa Takatifu ya Dominika ya kwanza Kwaresma na kukabidhiwa Kanisa hilo

Sherehe iliyoambatana na sala wakati wa kukabidhishwa huku akiwa pia ni askofu mkuu (Arcivescovo) wa Jimbo la Tabora pia Kardinali mwenye makazi Tabora Tanzania.

Sherehe zilihudhuriwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy mheshimiwa balozi Mahmoud Thabit Kombo, Wanafunzi wa Vatican na Diaspora iliyopo Roma
source : Nkomokomomedia

Papa wa Kwanza kutoka Africa
 
20 February 2024
Santa Maria in Montesanto, Rome

Mwadhama Protase Rugambwa akabidhiwa Kanisa huko Santa Maria in Montesanto Roma


View: https://m.youtube.com/watch?v=9F-vL_3kORk
Mpenzi mtazamaji wa Shuhudia Zawadi aliyopewa Mwadhama Kardinal Protase Rugambwa huko Santa Maria Montsanto Roma Itali katika Misa Takatifu ya Dominika ya kwanza Kwaresma na kukabidhiwa Kanisa hilo

Sherehe iliyoambatana na sala wakati wa kukabidhishwa huku akiwa pia ni askofu mkuu (Arcivescovo) wa Jimbo la Tabora pia Kardinali mwenye makazi Tabora Tanzania.

Sherehe zilihudhuriwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy mheshimiwa balozi Mahmoud Thabit Kombo, Wanafunzi wa Vatican na Diaspora iliyopo Roma
source : Nkomokomomedia

Huyu Rugambwa ndiyo jina lake linatumika kwenye ile shule ya sekondari inayoitwa Rugambwa ya miaka 1970s kule Bukoba?
 
Huyu Rugambwa ndiyo jina lake linatumika kwenye ile shule ya sekondari inayoitwa Rugambwa ya miaka 1970s kule Bukoba?

Swali zuri maana kuna kina Rugambwa wengi maaskofu nchini Tanzania kama huyu mwingine askofu mkuu Novatus Rugambwa balozi wa Papa aliyehudumu ktk nchi kadhaa na anaendelea na ubalozi kumuwakilisha Papa nchini New Zealand.

View: https://m.youtube.com/watch?v=a8ESu07aoZ4
Inaonekana wengi wamechukua jina Rugambwa toka kwa kardinali wa kwanza mwafrika kutoka bara la Afrika Mwadhama Laurean Rugambwa kama familia mbalimbali kumuenzi


View: https://m.youtube.com/watch?v=x7Y2V4xpkeM&pp=ygUQTm92YXR1cyBSdWdhbWJ3YQ%3D%3D

Hivyo jina la hiyo shule kongwe linatokana na heshima kwa kardinali wa kwanza mweusi kutoka Afrika kardinali Laurean Rugambwa.

Video clip ya kardinali wa tatu anayetokea Tanzania mwadhama kardinali Protase Rugambwa akielezea wapi alipata jina hilo


View: https://m.youtube.com/watch?v=3IXmL6H6s_M
 
Historia ya kardinali mweusi wa kwanza kutoka Afrika mwadhama Laurean Rugambwa

View: https://m.youtube.com/watch?v=Mnha4PP8ync

Rugambwa was born on 12th July 1912, in of an aristocratic family in Bukongo village, Rutabo-Kamachumu; Bukoba district, North west of Tanzania on the bourder with Uganda. His father was Domitiani Rushubirwa and the mother Asteria Mukaboshezi both of royal families. He was propheticlly given the name of Rugambwa meaning 'the renowned'. The local chief had forbidden any religious activity on the plateau of Kamachumu, thus Rugambwa as a young boy had daily to walk 20 Kilometers to Kagondo Parish for catechism. He was baptised by Fr. Emil Verfurth, a Missionary of Africa (White Father) on 21 March 1921. That same year he was baptised permission was given and a parish was opened by indigenous diocesan priests at Rutabo. After baptism he continued with the primary school education in the village.

Seminarian

In 1926 he was selected to join the junior seminary of Rubya where he studied till 1933 when he joined the major seminary at Katigondo Uganda.

Seminarian
In all his training, he was taught by the missionaries of Africa (White fathers) who evangelised Bukoba and southern Uganda. Among his teachers at Katigondo was Joseph Kiwanuka the future bishop of Masaka.

Father Laurean Rugambwa

Rugambwa was ordained priest on 12 December 1943 at Rutabo by bishop Burchard Huwiler. After ordination he was appointed to Kagondo parish and latter to Rubya parish. He often narrated on how interesting the pastoral work was; he was fortunate to have a bicycle with which he travelled up to 50 kilometers to give services. In 1948 he was transferred to Kashozi parish, the oldest parish in the diocese. He had very lively memories of his pastoral work in the parish especially at the outstation of Katoma, six miles from the town of Bukoba.

Father Rugambwa in Rome

It was at this time that Rome was thinking of dividing Bukoba vicariate and making the second experiment of a vicariate in black Africa, lead by an African after Masaka in Uganda. Rugambwa was selected for studies in Rome for that purpose. In Rome while lodging at St. Pater's College he studied Canon law at the PontificalUrbanCollege both belonging to propaganda Fide.

The New Vicariate

In 1948 Bishop Burchard Huwiler of Bukoba reached the age of 80 and as his health was not good he retired. Bishop Tetrault was appointed to replace him. Unfortunately after two years his health deterioted and he died in 1951.
In Rome
In this situation the arrangements of separating the vicariate were accellerated. On his return, after his graduation with a doctorate in Canon Law, Rugambwa was appointed to Rubya for a short time and later to Kashozi Parish. On 16th December 1951, Laurean Rugambwa was nominated bishop of the new Vicariate of Lower Kagera, cut off from Bukoba Vicariate with 5 parishes and 17 indigenous priests. He was ordained on 10th February 1952.
In 1953 the vicariate was raised to a diocese of Rutabo. The diocese was run by an exclusively African clergy, all determined to prove themselves. They managed with little financial support as they had little outside contacts. Under him with success they organised the people to support their diocese.

The First African Cardinal

In recognition of these successful efforts, Pope John XXIII elected him the first African cardinal in history in March 1960. He was created Cardinal on 28th March 1960. The same year cardinal Rugambwa was transferred to Bukoba diocese. Which had been cut into two. His Bukoba diocese comprised of the then district of Bukoba while the new diocese of Rulenge under Bishop Alfred Lanctot comprised of the districts of Karagwe, Bihamulo and Ngara. In his diocese he organised people into social guilds and trained many people, both men and women, locally and abroad. A number of them were destined to hold important posts of leadership in the country. By 1969 he had developed the diocese both spiritually and materially through hospitals and schools. Among the hospitals are counted Rubya Hospital and Mugana Hospital, among the schools is the major seminary of Ntungamo and the girls secondary school called after him, 'Rugambwa secondary school'.

Archbishop of Dar es Salaam

In 1969 he was nominated the Archbishop of the Capital city of Tanzania Dar es Salaam. He was its pastor till 1992 when he retired at 80 years. Here he introduced religious from different congregations both men and women. This helped him to open many parishes in the predominantly Moslem city. Like in Bukoba in dar es salaam he introduced the spirit of self reliance. He built its first catholic hospital at Ukonga. He built a major seminary at Segerea and a junior seminary at Visiga. At the end he founded a women religious congregation for Dar es Salaam, the Little Sisters of St. Francis of Assisi.
in dar
Both in Bukoba and Dar es Salaam, he was the undisputed leader of all religious denominations, the Catholics, Protestants and Moslems. They all accepted his leadership in common negotiations with the government. All governments respected him and took seriously his word.

The Cardinal Dies

His Eminence Cardinal Laurean Rugambwa died on 8th December 1997 at 22.15 hours. His body was laid to rest in the church at kashozi the first mission in Kagera region, north of Tanzania. A good devotion developed around his tomb with people coming from far to pay their homage and say a prayer. However, following the completion of the renovations of the Cathedral Church his body was transferred and reburied into the Cathedral church on 6th October 2012. It was a colourful event. He is remembered for his simplicity, pastoral concern especially for the spiritual and social needs of the people, and his solicitude for the pastoral workers. His relationship with all including the government officials was amiable. He has left a rich legacy to all especially in the places he has worked
 
Asante
Hii habari kuhusu zawadi inafaida gani kwa mtanzania

Tanzania inaonesha inatoa viongozi kimataifa katika imani

The Lutheran World Federation LWF - president Bishop Josiah Kibira of Bukoba


View: https://m.youtube.com/watch?v=Zf8Da5UcW1o
This is the Official Video of the upcoming documentary "Bishop Kibira of Bukoba - An African Lutheran"It is an autobiographical account of the life of Bishop Kibira as stated by his best friends and co-workers.



Razivello recalled that she was just six years old when delegates from the Malagasy Lutheran Church travelled to Marangu in then Tanganyika to attend the first gathering of all-Africa Lutherans in November 1955, envisioning a Lutheran communion on the continent. “You have rekindled our hope for the future, and encouraged us to draw closer to one another and to God,” she said.
 
Acha wivu wa kijinsia kwenye dini za watu...........unadhani utanzania wako anaujua nani ? Ikiwa tu tanesco wameshindwa kukuthamini na wanakuona cho cho bengo mnya pembeni
Dini za kitapeli.

Mpatapo akili mjue mmepotoka
 
Swali zuri maana kuna kina Rugambwa wengi maaskofu nchini Tanzania kama huyu mwingine askofu mkuu Novatus Rugambwa balozi wa Papa aliyehudumu ktk nchi kadhaa na anaendelea na ubalozi kumuwakilisha Papa nchini New Zealand.
🙏
 
Dini za kitapeli.

Mpatapo akili mjue mmepotoka
Wewe huna dini?? Au wewe ndiye yule mfuasi wa kunyonya ulimi wa baunsa ?.........kama wewe ni muislam basi jua mama yako aliolewa akiwa mtoto mdogo .......ndio maaana na wwe akili huna maana hukupata mama aliyekomaa kiakili
 
Back
Top Bottom