MWACHE AENDE HUSIMPIGE

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Ni kweli sometimes wanakera ila kipigo sio funzo la kubadili tabia [emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Duuuhh!!, huyo jamaa atakua anafanya kazi buchani au machinjioni.
 
Binadamu wengine hata sijui wameubwaje,kwan kama mtu hamuwezani tabia si muache aende kwao why umpige?
 
Duh!, kwa kichapo hicho cha paka mwizi kitamfanya huyo Dada awachukie wanaume wote Duniani. Na vichapo kama hivi hutokea baada ya fumanizi. Nawashauri mlio na wapenzi tulieni ili kukwepa kadhia kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…