mwache acheze na mwenzake

Ninliy

Senior Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
132
Reaction score
12
mke na mume waligombana ilipofika muda wa kulala mke akalala kitandani,mume akalala chini.baada ya muda uume ukasimama.mume akasema:tulia wewe leo tumenuniwa.mke alivyosikia hivyo akamwambia:mwache aje acheze na mwenzake, wao hawajagombana kwa hiyo hawana makosa.kusikia vile mume alipanda juu haraka na kuanza kufaidi uhondo!
 
...alichokiunganisha Muumbaji..................
 
Eee! bana wao huwa hawagombani m2 wangu maana kila m1 anamtegemea mwenzake au sio.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…