Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia, for that matter Mtungi, will never allow him to have a party of his own!Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."
Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.
"Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge."
Hii ni dibaji tu:
View attachment 2776199
"Yaani mwanzo wa ngoma .."
Kwamba kama ni mvua, hapo ni manyunyu. Bado vuli, masika, hadi ile ya el nino kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa.
Safari, uelekeo Tahrir ni ngumu na ndefu. Kwamba inaponukia, ni vizuri tukafahamiana vyema. Japo kwa kukanusha au kuthibitisha tu, propaganda uchwara kama hizi zinapojitokeza na bila ya kuchelewa:
View attachment 2776201
"Tunajenga nyumba moja."
Aluta continua!
agana na nyonga kabisaWalisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."
Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.
"Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge."
Hii ni dibaji tu:
View attachment 2776199
"Yaani mwanzo wa ngoma .."
Kwamba kama ni mvua, hapo ni manyunyu. Bado vuli, masika, hadi ile ya el nino kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa.
Safari, uelekeo Tahrir ni ngumu na ndefu. Kwamba inaponukia, ni vizuri tukafahamiana vyema. Japo kwa kukanusha au kuthibitisha tu, propaganda uchwara kama hizi zinapojitokeza na bila ya kuchelewa:
View attachment 2776201
"Tunajenga nyumba moja."
Aluta continua!
Mwenzako anashindana na Serikali kufuta mkataba mbovu wa Bandari na kupata Katiba.Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!
Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani?
Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake?
Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!
Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
agana na nyonga kabisa
Mwenzako anashindana na Serikali kufuta mkataba mbovu wa Bandari na kupata Katiba.
Wewe umekwama kwenye uvyama na akili zako nyingi.
Iongezeke wapi, na hao wameahidiwa pombe za bure jana na leo. Unafikiri tec wanaubavu wa pombe za bure kila siku?Amini nawaambia hii nguvu itaongezeka. Muda ni mwalimu
Raia tuna kiu ya watu wakuongelea shida zetu na kupambana na CCM kuhusu mikataba mibovu.
Anguko la CHADEMA naliona live
Mwenzako anashindana na Serikali kufuta mkataba mbovu wa Bandari na kupata Katiba.
Wewe umekwama kwenye uvyama na akili zako nyingi.
Iongezeke wapi, na hao wameahidiwa pombe za bure jana na leo. Unafikiri tec wanaubavu wa pombe za bure kila siku?
Amini nawaambia hii nguvu itaongezeka. Muda ni mwalimu
Raia tuna kiu ya watu wakuongelea shida zetu na kupambana na CCM kuhusu mikataba mibovu.
Anguko la CHADEMA naliona live
The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia![emoji419][emoji375]Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!
Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
Mkuu brazaj wakati mwingine unaposimama na jambo lako hauhitaji kujua wala kuomba ruhusa kwa yeyote ndani ya chama chako au nje.........nawafahamu sana ndugu zangu CDM watapinga ulichoandika lakini wewe songa mbele....
Hapana hao manyangau ukishaawapatia ummarufu na kura zikaongezeeka wankudampo hapo chini na kujiona wanaweza bila ninyiThinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!
Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia![emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hao manyangau ukishaawapatia ummarufu na kura zikaongezeeka wankudampo hapo chini na kujiona wanaweza bila ninyi
Ubavu upoIongezeke wapi, na hao wameahidiwa pombe za bure jana na leo. Unafikiri tec wanaubavu wa pombe za bure kila siku?